kudra haji
Member
- Jan 11, 2018
- 27
- 30
Aisee ndugu Zitto analysis yake kuhusu maji ni sahihi kabisa.
Karibu saana mheshimiwa. Tunahitaji fikra zako pevu.
Karibu saana mheshimiwa. Tunahitaji fikra zako pevu.
Utawala wa CCM umelaaniwa.
Wewe angalia maeneo ya Temeke, Mbagala, Mkuranga kuna shida kubwa ya maji lakini toka Mbagala hadi mto Rufiji ni kama kilometers 100 tu, lakini serkali za CCM zimeshindwa kuvuta maji toka mto rufiji kuja mkuranga, Mbagala na Temeke.
Watu maeneo hayo wanakunywa maji ya visima vya mavi, lakini mamilioni ya lita za maji ya mto Rufiji yanamiminikia baharini kila siku.
Bomba la gesi limeweza kutoka Mtwara hadi Dar wanashindwaje kuchukua maji Rufiji kuleta Dar?
Karibu sana Mh umepotea sana jukwaani.
Ni kweli kabisa tatizo la maji vijijini ndio kikwazo kikubwa cha maendeleo na ndio chanzo cha umasikini pia.
Kuna mambo ambayo serikali inayafanya na hayana tija kabisa kwa wananchi kama hili la ukosefu wa maji kwa wananchi vijijini.
Ikumbukwe pia wananchi wa vijijini ni wazalishaji kupitia kilimo, kama kiasi kikubwa cha fedha wanakitumia kugharamia maji, mipango na bajeti yabuzalishaji mali kupitia kilimo japo sio cha kisasa lazima ipungue hatimaye wanaendelea kudumbukia kwenye umasikini.
Kupoteza mabilioni ya pesa kwenye chaguzi za marudio kuna tija yoyote kwa Taifa zaidi ya kupata hasara?Salama,
Ni mambo yapi ambayo serikali inafanya hayana tija kwa wananchi? Bunge letu liko wapi? katika hayo mambo ambayo unaamini serikali inafanya hayana tija kwa wananchi wake?
shukrani!
Kupoteza mabilioni ya pesa kwenye chaguzi za marudio kuna tija yoyote kwa Taifa zaidi ya kupata hasara?
Tatizo ambalo naliona kwa wanainchi ni kwamba wanapenda mteremko sana. Niliishigi Kwimba nakumbuka tulifanyaga mpango wa kupata maji ya bomba tukajichanga changa sisi watumishi wa tatu tukavuta maji yakaja. Cha ajabu nashangaa mama mwenye nyumba akaja na biashara yake ya mama ntilie.
Mi nasema wacha wengine wakose maji tu na waumwe matumbo kwa sababu hawataki kuwajibika maana wanataka maji alafu kuyalipia hawataki.
Mimi nilifundishwa na baba yangu kwamba unafanyia kazi kila kitu. Wanainchi waonyeshe njia sio kukaa na kuletewa mradi
Hayo maji mliyovuta watumishi watatu mlivuta toka sehemu gani? Na mlichanga kiasi gani?Tatizo ambalo naliona kwa wanainchi ni kwamba wanapenda mteremko sana. Niliishigi Kwimba nakumbuka tulifanyaga mpango wa kupata maji ya bomba tukajichanga changa sisi watumishi wa tatu tukavuta maji yakaja. Cha ajabu nashangaa mama mwenye nyumba akaja na biashara yake ya mama ntilie.
Mi nasema wacha wengine wakose maji tu na waumwe matumbo kwa sababu hawataki kuwajibika maana wanataka maji alafu kuyalipia hawataki.
Mimi nilifundishwa na baba yangu kwamba unafanyia kazi kila kitu. Wanainchi waonyeshe njia sio kukaa na kuletewa mradi