Kigwangalla ni Ndugai mwingine. Mtu ukitaka kumjua vizuri mpe madaraka. Ripoti ya CAG ilionyesha ubadhirifu mkubwa alivyokuwa Waziri wa maliasili na utalii. Akagombana na katibu mkuu wake mpaka Magufuli akawatishia kuwatumbua. Akawapigisha push-up maaskari wa maliasili halafu kila kukicha...
Jamani tuwapongeze CCM lakini. Wanajua sana kuiba kura. Wanaiba kiufundi kweli. Mimi ninawafanananisha na jinsi mwanademokrasia mwenzao hayati Sadaam Hussein alivyokuwa anashinda uchaguzi huko Iraq kwa asilimia 99.9%. Well done CCM. Nadhani Polepole atapata deal ya kualikwa nchi zingine...
Ninavyoelewa mimi, Professor ni ngazi ya juu kabisa ya ualimu katika chuo kikuu. Unaweza ukawa na PhD lakini usiwe Professor. Professor unatunukiwa ukiwa mwalimu wa chuo kikuu lakini mtu unaweza ukasoma PhD halafu bado ukawa lecturer chuoni au ukafanya kazi yoyote nyingine ambayo siyo ya ualimu...
Try to read books especially novels and also watch movies. That will help you to become more fluent in speaking English. Another thing to do is to try to be in an environment where you are constantly speaking and listening to English. That will also help in mastering the English language. Huo...
Tanzania tumeshakuwa banana republic. Ni nchi inayoongozwa kimizrngwe mizengwe. Kama taifa linashindwa kufuata taratibu na sheria za nchi kwa mujibu wa katiba yake then were doomed as a nation. Uchaguzi huru na haki ni vitu vya msingi sana kwenye taifa lolote na ni mambo muhimu sana. Sasa kama...
Hata Saadam Hussein alikuwa anapata asilimia 99% ya kura zote zilizokuwa zinapigwa wakati wa uchaguzi nchini Iraq. Nchi isipokuwa na demokrasia ya kweli na chaguzi zake siyo huru na haki huwezi kutegemea wapinzani kuambulia chochote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanajaribu kumshinikiza Professor Assad ajiuzulu. Mimi ningekuwa Professor Assad ningeendelea kuchapa kazi tu pamoja na kusaini hizo report za ukaguzi wa matumizi ya fedha na kama bunge hawataki kuijadili taarifa hiyo shauri yao ili mradi ametekeleza wajibu wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilishawahi kwenda Botswana kwa gari. Tulivyofika Nankonde Zambia pale mpakani na Tunduma ilibidi tumwone afisa wa uhamiaji wa Zambia tuulizwe tunaenda wapi na madhumuni yetu ya kuingia (kupita) Zambia ni nini, vivyo hivyo Zimbabwe tulihojiwa na hata Botswana. Huwezi kuingia au kupita kwenye...
Hawa Waethiopia wengi wao ni economic migrants. Wanatafuta maisha na siyo wakimbizi. Wengi wao lengo ni kufika South Africa ili watafute maisha. Sasa wanakamatwa Tanzania kwa kosa la kuingia nchini bila kibali na kwa kutokufuata sheria za uhamiaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tangia Rais wetu mpendwa John Pombe Magufuli aingie madarakani sijasikia akifanya mahojiano ya moja kwa moja na chombo chochote cha habari chenye credibility kufafanua masuala mbali mbali ya kitaifa.
Ninakumbuka tu kulikuwa na press conference ilyofanyika ikulu ambao waandishi wa habari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.