Samahani wana SAUT hivi kwa mfano MTU umeshindwa kufanya mitihani then ukaomba special lakini ada haikupatikana kwa wakati muafaka je? Unaruhusiwa kuendelea na mwaka unaofata kwa mfano mwaka wa pili kwenda wa tatu ukaendelea mwaka wa tatu then ukaja kuifanya hiyo mitihani baadae? Msaada tafadhali
Habari zenu wakuu poleni na majukumu. Ivi ikitokea mwanachuo akakosa kufanya mitihani kwa kukosa ada then akaomba kufanya mitihani ya special lakini akashindwa kutokana na tatizo la kukosa ada tena!! Je anaweza kuendelea na mwaka unaofata wa masomo then akaja kuifanya iyo mitihani baadae...
Pamela a niece to Adam discussed buying a Camera from her Uncle.She offered to purchase the camera and said that "if I don't hear from you by the weekend I will consider the camera mine " she didn't actually hear from her unle. The camera was then sold by mistake by one of the sales men employed...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.