St. Augustine university of Tanzania (SAUT), main campus malimbe Mwanza special thread.

Hii penalty ya Ada mwisho tarehe 07/01/2018 nahisi nishafungwa hii penalt anapiga Messi wakati kipa ni kaseja wa kagera sugar
 
Samahani wana SAUT hivi kwa mfano MTU umeshindwa kufanya mitihani then ukaomba special lakini ada haikupatikana kwa wakati muafaka je? Unaruhusiwa kuendelea na mwaka unaofata kwa mfano mwaka wa pili kwenda wa tatu ukaendelea mwaka wa tatu then ukaja kuifanya hiyo mitihani baadae? Msaada tafadhali
 
subiri waje wana SAUT
 
Back
Top Bottom