Interest
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 3,434
- 7,096
- Thread starter
- #41
Unapenda kuharibu mijadala.Hivi wewe hata hujaitumikia vema PhD yako ya ubanguaji wa korosho kwa meno tayari ushaingia kwenye fani nyingine? Hii ripoti ya Prof Assad sio kila mtu anaweza kuijadili... Malizia kwanza lile zoezi la Masters of Kukabiliana na dogi lililotoroka. Kama ulikuwa hujui mbuzi wamekutangulia kupanda bombardier....
Sent using Jamii Forums mobile app