Habari zenu wakuu poleni na majukumu. Ivi ikitokea mwanachuo akakosa kufanya mitihani kwa kukosa ada then akaomba kufanya mitihani ya special lakini akashindwa kutokana na tatizo la kukosa ada tena!! Je anaweza kuendelea na mwaka unaofata wa masomo then akaja kuifanya iyo mitihani baadae especially MTU uyo akiwa ajafanya pepa za semester ya pili mwaka wa pili aingie mwaka wa tatu then aje kufanya mitihani hiyo baadae? Msaada tafadhali