Mimi mwalimu wangu alinizuia kuandikia kushoto. Dah mpaka sasa mwandiko wangu sio mzuri. Lakini kazi zingine zote natumia kushoto.
Mimi nashukuru wazazi wangu na waalimu hawakuwahi kunikataza, ila kuliluwa na shangazi yangu nikienda kwake sishibi maana ananilazimisha kula na kulia akawa adui yangu.Lakini nilivyukuwa mkubwa kila nikienda hotelini nikila watu wote wananikodolea macho kwa kweli hapo nilimkumbuka shangazi.