Wazo la Africa iamke (ijapokuwa umetaja kama ing'atuke na hivyo kunipa mashaka kwa unachomaanisha) ni zuri, ila shida bado nadhani iko kwetu sote (mie, wewe, yule, wao, wengine, nk), maana tunapenda sana kujadili yale ya mbali wakati yapo tuliyonayo mezani kwetu na wala hatuthubutu kuhoji...