Ridhiwani Kikwete atawazwa kuwa chifu wa wanyakyusa!

Nyakyusa elders!!!!!! I can't wait to blame you for such unprocedural practice you have attempted to undermine the nyakyusa culture and beliefs.the history of nyakyusas will fall upon you for such miscultural practices. Does this kwere consumes the culture of nyakyusa and if so how often and if not how can you confer with such respectable level of readership.Oooo God!!!!! have mercy on them
 
Ovyooooo!! waliomtawaza nao hawana akili vile vile yes i said hawana akili... huu uchifu wa kupeana kama njugu nani anautaka. Wewe Ridhiwani what ever your name is, kaegeshe nyumbani acha ujinga. Unaacha mkeo wewe kutwa kuzurura bila mpango. Huu ujinga na ulimbukeni wa watanzania utaisha lini wajameni???wazee wazima wanakosa kutumia busara? kweli kazi ipo
 
Ninachositika ni kuwa vizazi vijavyo vitafufua mafuvu yetu na kupima kama bongo zetu zilikuwa na ubongo wa binadamu ama zilijaa kamasi
 

NB: Inawezekanaje mtu ambaye sio mnyakyusya atawazwe kuwa chifu wa wanyakyusa????? Chifu Mwailemale pamo akamanya inyiho.

Huyo Chifu wa sasa kaachia ngazi ( abdicate) ili kumpisha Ridhwani na ni sababu ipi iliyomfanya aachie ngazi na mila zinasemaje????

Unyakyusa ni sehemu kubwa sana Je yeye ni chifu wa sehemu gani ya unyakyusa???

Mafumu wanasemaje kuhusu hili?????

Kigezo gani kilitumika ili kumfanya Rizwani kuwa chifu na wanyakyusa wangapi walishirikishwa katika hili???????

Mwenye majibu atupatie jamani, tuna kiu ya majibu haya...

PR stint hii?

[/SIZE]

eti wanasema vigezo na masharti vimezingatiwa..ebwanae
 
Chifu Mwangupili Dr Jakaya Mrisho Halfan Kikwete akiwa na Chifu Mwailemale Riziwani Kikwete

IMG_0383.jpg


hahahahahahaahhahaha! Duh hii dunia kwishne now
 
6f2y4o.jpg



huyo ni kuku wa kafara tu hakuna jingine

du mwaka huu wanyakyusa wamepatikana ...PAMOJA NA KUHESHIMIKA KAMA WATU WENYE MISIMAMO......yaani wamempa uchifu mtu kwa ajili ya kujipendekeza ......du?? sasa kama walishampaga babake uchifu ...inakuwaje wanakuja kumpa tena mwanaye na huku Rais [babake]hajafariki.....kuna tatizo hapo ....hii ni ishu ya TAKUKURU....
 
Wanyakyusa wa kiukweli hao au wazee wa CCM mkoa wa mbeya na njaa zao wamearrange hiyo?
 
du mwaka huu wanyakyusa wamepatikana ...PAMOJA NA KUHESHIMIKA KAMA WATU WENYE MISIMAMO......yaani wamempa uchifu mtu kwa ajili ya kujipendekeza ......du?? sasa kama walishampaga babake uchifu ...inakuwaje wanakuja kumpa tena mwanaye na huku Rais [babake]hajafariki.....kuna tatizo hapo ....hii ni ishu ya TAKUKURU....

Naanza kuona bongo inageuka kama old Iraq.......SADDAM + UDAY + QUSAY!!!!!!si mchezo.
 
Naamini kuna achievement itakayotokana na comments zetu hizi hasi dhidi ya Ridhiwani kupewa uchifu wa kinyakyusa. Angalau Ridhiwani hatapata tena uchifu wa makabila mengine.
 
Chifu Mwailemale (Ridhiwani Kikwete) akiwa amekalia kigoda baada ya kutawazwa kuwa chifu wa kinyakyusa.


Ha ha ha!!
Mkuu Ngambo, mimi sina wasi wasi wowote kwa Bwana mudogo Riz kuukwaa Uchifu , wasi wasi wangu ni jinsi Chief Mwilemale anavyoushangilia mkuki huu!!
 
Hivi Mkapa ana watoto, maana sijasikia hilo!

Weye unauliza Mkapa, JK Nyerere mwenyewe tumeanza kujua watoto wake baada ya yeye kuondoka kwenye urais.Huku tunakokwenda siko.Utatanishi ni NANI anafoot the bills za hizo safari za hawa kuzungua bongo yotee.Ama kweli tumeliwa!!!!
 
Chifu Mwangupili Dr Jakaya Mrisho Halfan Kikwete akiwa na Chifu Mwailemale Riziwani Kikwete

IMG_0383.jpg


Si heri wangesubiri kwanza baba afe ndiyo mwana arithishwe ? Hii ya baba Chifu na mwana Chifu mbona ni ya ajabu na inachanganya ? Yaani mafahali wawili ndani ya zizi moja, duh - hivi siku atakapowasili mama huko kwa Wanyakyusa, mbona hapatatosha kwani kutakuwa na kibarua kizito !
 
Kuna jambo mmesahau, mngempa na wake sasa, maana kweli akli zenu zimejaa maji!! Nini maana na nafasi ya chifu kwenye kabila lenu? Mnaamua kuvunja mila kwa tshirt ambayo ikilowekwa imesahaulika, aibu wajameni, tumepotea sasa. Na lini na wapi (pengine wanaojua kabila hili watusaidie) kukawa na machifu wawili? Ilianza lini, tangu kwenye huu utawala wa huyu msanii, hangaikeni, poleni sana mliojiweka kimbelembele na naona aibu iwafunike tu!!
 
Watu waMbeya wanyakyusa mumenisikitisha sana! huenda ni wajinga wachache wameambukiza wenzao! kabila lina machifu wawili baba na mwana lol!
 
Hivi Mkapa ana watoto, maana sijasikia hilo!
Uliwasikia watatototo wa Nyerere kabla hajafariki?Huyu Kikwete wewe humjui?Mke wake kila kitu anataka,Watoto wake kwenye siasa....ULIMBUKENI HUO NDUGU..........IKULU IMEGEUZWA YA FAMILIA YA KIKWETE NA WAPUUZI WAKE, Hata mwinyi hakuwa hivyo jamani.....KIKWETE NA MAKAMBA WOTE MALIMBUKENI
 
Kweli jamani njaa hizi zitatumaliza, hivi kweli hayo ni maamuzi ya kabila la kinyakyusa kumpa huyo kijana heshima kubwa kiasi hicho? kama ni kweli ni mawzao yao wote, we still having a a very long way to go.
 
Back
Top Bottom