Recent content by kombe

  1. K

    Wazanzibar muungano tutaununua...

    na kweli mpewe nchi yenu kwa sababu mmetunyonya sisi watanganyika sana...sisi wenyewe tunaitaka sana Tanganyika yetu
  2. K

    Mwenyekiti wa CHADEMA Temeke Joseph Yona, apigwa na kuumizwa vibaya!

    Hivi hao mnaodai wanapiga watu serikali imeshindwa kuwachukulia hatua...vijana wa siku hizi mna matatizo kwenye kufikiri
  3. K

    Kinachoendelea mitaani kwa ajili ya kumpa support ZZK leo pale H.C

    hahahahahaha bunge la katiba kwa akili hii hii...duh Tz tumefika mwisho...!
  4. K

    Baada ya kuhama Chadema asilia inawezekana nikaiiunga na CHADEMA ACADEMIA..

    Wakianzisha chama hapo ndipo utaona viwango vya usaliti vinavyotofautiana...lazima wasalitiane wenyewe kwa wenyewe...Halafu Lukosi hukuhama CDM bali ulifukuzwa
  5. K

    CHADEMA imetuangusha, Ni wakati sasa wa Mbowe kuachia ngazi!

    Kama imani yako ilikuwa kwa watu nakupa pole...wengine imani iko kwa taasisi kama taasisi
  6. K

    Mnyika: The majority Political Dream

    hebu na wewe ingia kwenye siasa tuone ujasiri wako...acheni wivu wa kike
  7. K

    Hivi Kabwe Zuberi Zitto wa kumtisha Dr.Wilbrod P. Slaa!? Haiwezekani!

    ZZK ni mwanasiasa wa upinzani anayeungwa na kutetewa sana na wanaCCM. Mbaya zaidi wanaionea huruma CDM kwa kumuondoa huyu jamaa kwenye nafasi za uongozi wakihofia kuwa chama hiki kitasambaratika na kufa kabisa endapo atafukuzwa katika chama. nikirejea kipindi cha huko kuna waziri mmoja katika...
  8. K

    Hivi Kabwe Zuberi Zitto wa kumtisha Dr.Wilbrod P. Slaa!? Haiwezekani!

    Bahati mbaya hata ungekuwa wa kwanza kuamini hauna imapact yoyote kisiasa katika hii Tanzania@Juliana Shonza
  9. K

    Mandela hastahili heshima ya juu hivi kupita makubwa yaliyofanywa na akina Nyerere

    Nafikiri Mandela anastahili sana heshima hii japo mtoa mada anaonekana haijui vizuri historia ya SA na Mandela mwenyewe. kilichopelekea NM kufungwa ni kutokana na kupambana dhidi ya ukoloni na ubaguzi wa rangi kwa ujumla. mtakuwa mmefanya kosa kubwa la kihistoria kumu-underrate NM.huyu jamaa ni...
  10. K

    Mandela hastahili heshima ya juu hivi kupita makubwa yaliyofanywa na akina Nyerere

    kama umeisoma historia vizuri huwezi ukatoa comment ya kipuuzi namna hii...Mwinyi alipokea nchi kutoka kwa Mwalimu baada ya vita ya Uganda na Tz. Historia inaonyesha jinsi vita hii ilivyoigharimu nchi na kuharibu uchumi. kwani Mwinyi alipoondoka aliacha nini?Fikiri vizuri
  11. K

    CHADEMA yachukua tahadhari dhidi ya silaha ya siri ya CCM

    hizi propaganda zimekosa mashiko, hata sisi tusio na vyama hatuziamini, mnakosa usingizi bure. Chama chenu kinafaidisha watu wachache ndio maana mtazidi kuchukiwa tu.
  12. K

    Aikande Kwayu: Why I think my party’s CHADEMA decision is wrong!

    mashabiki wakubwa wa hii ishu ni wanaCCM wasiowatakia mema ninyi CDM...sio kwamba mnapendwa sana ila wanafanya hivi kuwavuruga...cha msingi ninyi wenyewe muangalie the best way ya kusolve hii ishu otherwise hawa jamaa wanafurahia. Jamaa alishakiri kuwa ana makosa, cha msingi asikilizwe kama...
  13. K

    UNAFIKI unatawala Bavicha...

    Slaa anawauma wanaCCM duh...!
  14. K

    Wabongo waishio majuu kwa sifa!!?

    hahahahahahah...angalau nimecheka jioni ya leo
Back
Top Bottom