Hivi Kabwe Zuberi Zitto wa kumtisha Dr.Wilbrod P. Slaa!? Haiwezekani!

Status
Not open for further replies.
Acha Zitto, kwa uwezo na maarifa mimi binafsi nimemuacha mbali sana Mzee wangu huyu, kwani mimi ninao uwezo wa kupima hali ya hali na kufanya maamuzi stahiki kulingana na hali husika ila babu uwezo huo hana, hivi kweli alishauriana na Mama Junior vizuri na wote wawili wakakubaliana kuwa jamaa aende kigoma ili akamkomeshe Zitto.!!!!

Hata siku moja sikuwahi kuamin kuwa Slaa ana uwezo wa kufanya NCHI HII KUTOTAWALIKA kama ilivyo kuwa siamin Slaa anamkomesha Zitto huko kigoma.
mtahangaika sana kama vimtetea, hata kubuni mbinu za system hacking hamuwezi mnakamatwa kabla hata hamjaanza - shame!!

Mmekamatwa mapema na kale ka mbinu kenu dhaifu ka PM7, Wengine kwa aibu mkatimkia wa vibaraka waliowatuma, sasa kiongozi wenu kujifanya shujaa akabuni tena haka kengine dhaifu zaidi ka kuandika waraka wa siri wa kujitafutia uwenyekiti, sasa mmeona aibu inayompata?

Cha msingi mshaurini kiongozi wetu mkuu muwanzishe chama chenu ili muwe mnabadilishana uwenyekiti, ndani ya CDM hana nafasi tena, na ndani ya CCM hatapokelewa!!
 
Kwa sababu tu alivunja ndoa ya Mama yako na Baba yako? wewe chuku zako kwake ni kwa sababu yeye ndo alifanya Baba yako amtose mama yako

Hata mumtetee kiasi gani, hata mumsafishe kwa sabuni ya Omo, DR SLAA hawezi kutakasika na kashfa ya uzinifu
 
Kwa sababu tu alivunja ndoa ya Mama yako na Baba yako? wewe chuku zako kwake ni kwa sababu yeye ndo alifanya Baba yako amtose mama yako
matusi tafadhali, tumia kichwa vizuri, dont mis use it. hebu lisaidie jukwaa historia ya kifamilia ya slaa miaka 5 iliyopita, ana wake wangapi kama padre kiimani, anawalea watoto wake wote aliowazaa na wanawake ambao hajafunga nao ndoa?
 
hahaaaaaa!
siwezi kuhangaika kujenga hoja kwenye upuuzi huu otherwise nami nitakuwa mpuuzi...

we fanya kazi yako kama ulivyotumwa

Mbona unadhalilisha jina la aliyekuwa hawara wa babu? jiheshimu dada maana sijui unawaza nini kichwani mwako
 
hahaaaaaa!
siwezi kuhangaika kujenga hoja kwenye upuuzi huu otherwise nami nitakuwa mpuuzi...

we fanya kazi yako kama ulivyotumwa
kwa kuwa wewe umetumwa ndio unadhani sote tunatumikia matumbo? inaonekana wewe bado upo single ndio unajipendekeza kwa slaa ili akupore as usual
 
Kwa sababu tu alivunja ndoa ya Mama yako na Baba yako? wewe chuku zako kwake ni kwa sababu yeye ndo alifanya Baba yako amtose mama yako
alivunja ndoa ya mahimbo baada ya kumpora mke wake halali wa ndoa aitwaye josephine mahimbo mushumbusi
 
mtahangaika sana kama vimtetea, hata kubuni mbinu za system hacking hamuwezi mnakamatwa kabla hata hamjaanza - shame!!

Mmekamatwa mapema na kale ka mbinu kenu dhaifu ka PM7, Wengine kwa aibu mkatimkia wa vibaraka waliowatuma, sasa kiongozi wenu kujifanya shujaa akabuni tena haka kengine dhaifu zaidi ka kuandika waraka wa siri wa kujitafutia uwenyekiti, sasa mmeona aibu inayompata?

Cha msingi mshaurini kiongozi wetu mkuu muwanzishe chama chenu ili muwe mnabadilishana uwenyekiti, ndani ya CDM hana nafasi tena, na ndani ya CCM hatapokelewa!!

Khhaaaaa, yaani Mbowe ashauriwe kuanzisha chama? hakikaa hapo sijakusoma dada
 
mtahangaika sana kama vimtetea, hata kubuni mbinu za system hacking hamuwezi mnakamatwa kabla hata hamjaanza - shame!!

Mmekamatwa mapema na kale ka mbinu kenu dhaifu ka PM7, Wengine kwa aibu mkatimkia wa vibaraka waliowatuma, sasa kiongozi wenu kujifanya shujaa akabuni tena haka kengine dhaifu zaidi ka kuandika waraka wa siri wa kujitafutia uwenyekiti, sasa mmeona matokeo yake!!

Cha msingi mshaurini kiongozi wetu mkuu muwanzishe chama chenu ili muwe mnabadilishana uwenyekiti, ndani ya CDM hana nafasi tena, na ndani ya CCM hatapokelewa!!

Kwa hiyo wewe unaamini huyo ni Juliana Shonza?hana ujanja wa kuandika hivyo fuatilia post zake za nyuma utagundua unabishana na boss wake
 
Last edited by a moderator:
MH ZITO kama kiongozi ambae amesimamishwa nafasi ya unaibu mtendaji ndani chadema kiukweli ameonyesha a true leadership. amefanya mambo makubwa kama kiongzi ambapo wananchi kutoka vyama mbalimbali na wananchi kwa ujumla wana aprove that, ni ombi langu kwa kamati kuu kuwa makini na kiongozi huyu makini na wasimpoteze katika harakati hizi za mapambano dhidi ya wakoloni weusi, ni kwa best wish kwa chadema kukubali apology alioitoa mh zito kwa chama kwani hakuna mkamilifu ila mungu peke yake.mh zito ameonyesha LEADERSHIP kwan hata aliposimamishwa na chama hakumtukana mtu wala kumtuhumu mtu wala hakujibu mapigo hio ni subira na ukomavu wa kiongozi huyu. ni hatari kwa chadema kufumbia macho mambo jambo hili linaweza kuleta mgawanyiko usiokuwa wa lazima wakati upinzani ukijiandaa kumtoa mkoloni mweusi. sisi wapenda mabadiliko na wazalendo wa nchi yetu ni hayo kwa kamati kuu ila

dk slaa anatutia mashaka na his leadership kwani inaonekana ana anger kutokana na kauli zake katika mikutano yake, nafikiri kipindi hiki ambacho chama kinapita katika kipindi kigumu angejiepusha na kauli ambazo si zakujireconcile ndani chama. ni ushauri wa bure kwamba tunapaswa kuficha awa anger kwani wagombanao ndio wapatanao, kuna usemi unasema usimchukie mtu completely wala uisimpende mtu completely uwe moderate kwan mwanadamu is changing not static
note
a GOOD DAY IS AWAITING US IF WE MAKE RATIONAL DECISON BUT WORST DAY IS COMING IF WE MAKE IRRATIONAL DECISION. forwad forever never back
 
“People tend to be generous when sharing their nonsense, fear, and ignorance. (Steve Maraboli).
 
when we are reflecting nelson madela legacy hate, anger wili destoy us only forgiveness and reconciliation is best for our nation
 
kama ni kiongozi shupavu, Why msimtafutie position ndani ya CCM? nafikiri atakuwa mtu influential kuimaliza kabisa CDM.
 
Katika umri wake mdogo wa miaka 35 Zitto kwa haya mafanikio ya kisiasa aliyoyafikia anastahili pongezi sana,Je Doctor Slaa katika umri huo alikuwa wapi kisiasa mleta mada?
 
uwezo pekee alionao slaa ni kuharibu ndoa za watu

Mlaumu Mama yako kwa Umalaya wake,kwani alitongozwa akakubali,huku akijua ni mke wa Baba yako.AU mlaumu Baba yako kwa kutomridhisha Mama yako,mpaka anatafuta msaada kwa wanaume wa kweli.
 
Bahati mbaya hata ungekuwa wa kwanza kuamini hauna imapact yoyote kisiasa katika hii Tanzania@Juliana Shonza
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom