DCONSCIOUS
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 1,269
- 473
Mnyika ni mwanasiasa makini na mwelevu
Nimefurahi uliibua hoja hii ambayo inamwonyesha Mnyika akiwa na hoja huipeleka Hadi mwisho, bila woga wowote. Tofauti na wale watatu ambao mmoja Zitto alikuwa anazidi cheo badala ya kujadili madhaifu ya chama ndani ya kikao wanajifungia ofisi za serikali DUCE kuandika issues ambazo zingewezwa kujadiliwa kwenye vikao, hata Kama ni kuchomekea Kama mengineyo.
John ni jasiri lakini mwenye he kima na heshima!
bila kuathiri ushabiki wa vyama na uanachama,ni lazima niseme mnyika hana mpinzani kuwa ni kijana ambaye kwa wafuasi wa vyama basi ni ndoto ya wengi na mkomboz.japo yy si mwepesi kujikubali lakini tunamwambia yy ni mkombozi wa umma.in future mnyika is gonna win politics coz;
-hana tamaa
-hana kashifa
-mtambuzi na mchambuzi wa mambo
-anaijua siasa
-hajikwezi
-anathamn watu
-mtana shati
we prau for you Mnyika and CDM.
ataendelea kua mzuri mpaka pale atapoenda kinyume na maagizo ya mbowe na slaa ndipo ataitwa mhain,,,
to me!,,,he z jst a coward,,,,anapelekwa hajielew!
bila kuathiri ushabiki wa vyama na uanachama,ni lazima niseme mnyika hana mpinzani kuwa ni kijana ambaye kwa wafuasi wa vyama basi ni ndoto ya wengi na mkomboz.japo yy si mwepesi kujikubali lakini tunamwambia yy ni mkombozi wa umma.in future mnyika is gonna win politics coz;
-hana tamaa
-hana kashifa
-mtambuzi na mchambuzi wa mambo
-anaijua siasa
-hajikwezi
-anathamn watu
-mtana shati
we prau for you mnyika and cdm.

Ameshindwa kutatua kero ya maji Kimara.
hebu na wewe ingia kwenye siasa tuone ujasiri wako...acheni wivu wa kikeataendelea kua mzuri mpaka pale atapoenda kinyume na maagizo ya mbowe na slaa ndipo ataitwa mhain,,,