Hivi Kabwe Zuberi Zitto wa kumtisha Dr.Wilbrod P. Slaa!? Haiwezekani!

Status
Not open for further replies.
In a simpe logic, kwa mtu ambaye hajaburugwa na kichwa chake kiko vizuri haitaji picha wala thread ya JF kujua kuwa Babu na Zitto, Zitto ni bora zaidi na hasa ubora huo unaongezeka ukiwapima kutokana na maono ya wanakigoma.

Zitto ni mbunge wa Kigoma ambaye kupitia yeye Kigoma ya sasa sio kama ile ya zamani, ambayo haikuwa chini ya zitto, waulizeni wana kigoma wanajua na wanafahamu haya. Lakini labda niwaulize wale bendera fuata upepo ni lipi exceptional ambalo babu kalifanya kwa wanakigoma hata limpe credit above Zitto na watu waamini eti kutoka kwenye thread ya JF kuwa Slaa anakubalika Kigoma kuliko Zitto,ni ajabu!!!

Acha Zitto, kwa uwezo na maarifa mimi binafsi nimemuacha mbali sana Mzee wangu huyu, kwani mimi ninao uwezo wa kupima hali ya hali na kufanya maamuzi stahiki kulingana na hali husika ila babu uwezo huo hana, hivi kweli alishauriana na Mama Junior vizuri na wote wawili wakakubaliana kuwa jamaa aende kigoma ili akamkomeshe Zitto.!!!!

Hata siku moja sikuwahi kuamin kuwa Slaa ana uwezo wa kufanya NCHI HII KUTOTAWALIKA kama ilivyo kuwa siamin Slaa anamkomesha Zitto huko kigoma.

Pumba! pumba! pumba!I just wasted my time reading this...you're just a mouth full of harmful bacteria
 
Vijana tulieni nivile tu hamjugi zitto anaubongo wa ajabu sn hebu fikirieni mnalinganisha na babu lakini pia matusi meeengi mmetukana bila kuridhika kisa nn huyu zzk kila aina ya tusi mmempa sasa kwanini yeye tena kwa kumlinganisha na watu ambao sio saizi yake lazima zitto awe ni m2 wapekee kimsingi na ana kitu cha pekee alicho nacho so kaeni kimya the time wil tell nyie watu wazima mnawashwa nn tena istoshe na elimu zenu matusi yann zzk afukuzwe uanachama au asifukuzwe ninyi familia zenu zitaathirika nini au itawafaidia nini? msigeuze jf ni mahala pa watu wajinga walio shindikana badala ya kuwa mahara pakujifunza alaah??!!
 
MH ZITO kama kiongozi ambae amesimamishwa nafasi ya unaibu mtendaji ndani chadema kiukweli ameonyesha a true leadership. amefanya mambo makubwa kama kiongzi ambapo wananchi kutoka vyama mbalimbali na wananchi kwa ujumla wana aprove that, ni ombi langu kwa kamati kuu kuwa makini na kiongozi huyu makini na wasimpoteze katika harakati hizi za mapambano dhidi ya wakoloni weusi, ni kwa best wish kwa chadema kukubali apology alioitoa mh zito kwa chama kwani hakuna mkamilifu ila mungu peke yake.mh zito ameonyesha LEADERSHIP kwan hata aliposimamishwa na chama hakumtukana mtu wala kumtuhumu mtu wala hakujibu mapigo hio ni subira na ukomavu wa kiongozi huyu. ni hatari kwa chadema kufumbia macho mambo jambo hili linaweza kuleta mgawanyiko usiokuwa wa lazima wakati upinzani ukijiandaa kumtoa mkoloni mweusi. sisi wapenda mabadiliko na wazalendo wa nchi yetu ni hayo kwa kamati kuu ila

dk slaa anatutia mashaka na his leadership kwani inaonekana ana anger kutokana na kauli zake katika mikutano yake, nafikiri kipindi hiki ambacho chama kinapita katika kipindi kigumu angejiepusha na kauli ambazo si zakujireconcile ndani chama. ni ushauri wa bure kwamba tunapaswa kuficha awa anger kwani wagombanao ndio wapatanao, kuna usemi unasema usimchukie mtu completely wala uisimpende mtu completely uwe moderate kwan mwanadamu is changing not static
note
a GOOD DAY IS AWAITING US IF WE MAKE RATIONAL DECISON BUT WORST DAY IS COMING IF WE MAKE IRRATIONAL DECISION. forwad forever never back

ZZK ni mwanasiasa wa upinzani anayeungwa na kutetewa sana na wanaCCM. Mbaya zaidi wanaionea huruma CDM kwa kumuondoa huyu jamaa kwenye nafasi za uongozi wakihofia kuwa chama hiki kitasambaratika na kufa kabisa endapo atafukuzwa katika chama. nikirejea kipindi cha huko kuna waziri mmoja katika serikali hii ya CCM aliwahi kusema kuwa CDM itakufa kabla ya 2015. na pia ni tamanio la CCM kuona CDM inakufa. kusimamishwa kwa ZZK na wengine kwenye uongozi wa CDM nilifikiri kuwa CCM walitakiwa kufurahia na kuchochea zaidi hili iwe kama catalyst ya kuharakisha kifo cha CDM. lakini badala yake nafasi hii imetumika tofauti na kukionea CDM huruma. Tumeona pamoja na kuwa walijaribu kuwatumia wale wanabavicha waliotimuliwa kwa tuhuma za usaliti Juliana Shonza na Mwampamba bado CCM imeshindwa ku-achieve any significant result. ni ushauri wangu kuwa CCM wamchukue ZZK na Msomi Kitila Mkumbo pamoja na jamaa wa AR hili waweze ku-achieve wish yao kwa haraka sana. Uzuri wa hawa jamaa ni wasomi wenye akili ya ku-reason vizuri kuliko hawa wasomi wa juzi juzi Shonza na mwenzake kutoka DUCE ambao waliishia kutoa matusi kwenye majukwaa na kuidhalilisha CCM
 
Vijana tulieni nivile tu hamjugi zitto anaubongo wa ajabu sn hebu fikirieni mnalinganisha na babu lakini pia matusi meeengi mmetukana bila kuridhika kisa nn huyu zzk kila aina ya tusi mmempa sasa kwanini yeye tena kwa kumlinganisha na watu ambao sio saizi yake lazima zitto awe ni m2 wapekee kimsingi na ana kitu cha pekee alicho nacho so kaeni kimya the time wil tell nyie watu wazima mnawashwa nn tena istoshe na elimu zenu matusi yann zzk afukuzwe uanachama au asifukuzwe ninyi familia zenu zitaathirika nini au itawafaidia nini? msigeuze jf ni mahala pa watu wajinga walio shindikana badala ya kuwa mahara pakujifunza alaah??!!

We unayemtetea Zitto hapa Jf unafaidika nanini!?au ndiye anakuachiaga kodi ya meza.
 
Kumekuwa na mfananisho kwa namna ya kuwapambanisha ili kumpata mbabe kati ya Ndugu Kabwe Zuberi Zitto Zitto Kabwe) na @Dr.W.P.Slaa. Kwamba eti Zitto kupitia kwa wanaomuunga mkono, wanaweza 'kumtisha'/'kumtingisha' @Dr.W.P.Slaa. Si kitu rahisi. Kisiasa, Zitto ni mchanga sana kwa Dr.W.P.Slaa. Nasema hivi nikiwa na maana yangu.Nina sababu za kukazia maelezo yangu na imani yangu juu ya jambo hilo nilisemalo.

Kwanza, uzoefu wa uongozi. Nizungumzie Ubunge tu. Dr.Slaa amekuwa Mbunge wa Karatu kuanzia mwaka 1995 hadi 2010 alipogombea Urais kupitia CHADEMA. Amekuwa Mbunge wa Jimbo kwa miaka 15. Yaani, ni mara tatu ameaminiwa na chama chake na amechaguliwa na wananchi wake. Zitto amekuwa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini tangu mwaka 2005 hadi sasa. Hadi mwaka 2015, atatimiza miaka 10 ya Ubunge wake.Ameaminiwa na chama chake na kuchaguliwa na wananchi wake mara mbili. Kwa hapo, Dr. Slaa anaongoza.

Pili, umachachari Bungeni kama Mbunge wa Upinzani. Wote hapa wana alama zinazokaribiana. Wakati Zitto akiibua kashfa ya Buzwagi, Dr. Slaa aliripua jambo jipya kila alipokuwa akichangia au kuuliza swali. Nafasi ilikuwa ikifika kwa Dr.Slaa, Mawaziri,Wabunge na wanachi walikaa mkao wa kula. Walijua kuna la maana linafuata. Hata Zitto naye. Kwa hili, niseme nguvu ni sawa.

Tatu, umachachari nje ya Bunge. Hapa Zitto simpi alama nyingi.Ingawa amekuwa akihutubu mikutano na makongamano tofauti, lakini nje ya Bunge hakuwa muibuaji wa mambo mazito ya kinchi.Lakini, Dr.Slaa ndiye aliyeibua 'issue' ya External Payments Account (EPA) na kuisimamia.Pia,Dr.Slaa ndiye liyesimama Mwembeyanga-Temeke na kutaja Orodha ya Watanzania 11 aliowaita 'Mafisadi'. Mmoja baada ya mwingine anajidhihirisha.

Nne, ukaribu na wana-CCM. Kuna habari kuwa Zitto ana ukaribu sana na viongozi mbalimbali wa CCM na Serikali yake.Inasemwa pia kuwa Zitto ni swahiba wa Rais Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Taifa. Urafiki huu unaonekana kama uliozidi na kuvuka mipaka ya kiupinzani. Kuhusu urafiki wa namna hii,Dr. Slaa ndiye nguli katika hili.Yeye kuanzia mwaka 1974 alikuwa karibu na Uongozi wa juu wa TANU ppale ambapo alikuwa Katibu wa TANU-youth League pale Seminarini Kipalapala-Tabora(sijui hapa wadini watasemaje).

Kama hiyo haitoshi, Dr.Slaa alikuwa Katibu wa CCM kwenye Tawi la Rome-Italia. Kwa kufanya hivi, Dr.Slaa alikuwa karibu na vigogo wa TANU na baadaye CCM akiwemo Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyekuwa Mwenyekiti wa TANU na baadaye CCM kwa wakati huo. Dr.Slaa aliendelea kuwa mwanachama mtiifu wa CCM hadi alipojiondoa huko na kujiunga na CHADEMA hapo 1995.

Katika kigezo hiki cha urafiki na ukaribu Dr.Slaa natia fora.Lakini, sasa yeye ni mpinzani kama alivyo Zitto ambaye hakuwahi kuwa katika chama tawala tangu kuzaliwa kwake. Sasa, kwanini Zitto atiliwe shaka na Dr. Slaa aachwe? Kila mmoja wetu na ajijibu.

Ninachotaka kusema hapa ni kuwa ingawa wote: Dr.Slaa na Zitto ni wanasiasa lakini hawa ni wa ngazi tofauti. Mmoja yuko juu ya mwingine. Dr.Slaa anamzidi Zitto kwa vitu vingi vikiwemo hivyo nilivyojaribu kuviainisha hapo juu. Sasa, ulinganifu na uchonganishi wa wawili hawa hauna nafasi. Ni kwakuwa hawafanani. Mmoja ni mfano wa mwingine.Ni Mwalimu.

Hakuna haja ya kuonesha kuwa Zitto na wafuasi wake ndani na nje ya CHADEMA wanamtisha Dr.Slaa. Nadhani imeonekana. Dr.Slaa,pamoja na propaganda na vitisho vyote, ameendelea na ziara yake mkoani Kigoma ikiwa pamoja na Jimbo la Uchaguzi la Zitto(nyumbani kabisa)-Jimbo la Kigoma Kaskazini. Kwa uzoefu wa kisiasa alionao Dr.Slaa, si Zitto wala awaye yeyote nayeweza kumtisha kisiasa Dr.Slaa. Waswahili wana msemo kuwa: 'Nyani Mzee amekwepa mishale mingi'. Zitto anayo nafasi ya kuendelea na siasa na kukomaa kama Dr.Slaa. Yawezekana!
mkuu una point. sasa wasiwasi wangu ni kwamba kama zitto hana wafuasi ni kitu gani wanachokiogopa akina slaa na mbowe mpaka hata wamfanyie zengwe katika kugombea uongozi wakati wanajua fika kuwa hana wafuasi na ataangukia pua?
 
wanamshabikia Zitto wengi ni dini ya mtu na hao hao humpinga Dr slaa kwa dini yake ambayo ni hoja mfu.
cc FaizaFoxy.
 
Last edited by a moderator:

ubongo wa zitto ni mkubwa kuliko wa babu
 
Na ukiangalia umri wao wakati ZzK ana umri huo Katibu katika umri kama huu alikuwa ame achieve nini mkuu????!!!!!!!

Maana kashaishi miaka mingi sana hili nalo liangaliwe

Umeambiwa mwaka 1974 alikuwa Katibu wa TANU-youth League pale Seminarini Kipalapala-Tabora (alichanguliwa). Zitto ilipewa unaibu katibu na Mbowe aliemuinigiza kwenye dulu za siasa
 
In a simpe logic, kwa mtu ambaye hajaburugwa na kichwa chake kiko vizuri haitaji picha wala thread ya JF kujua kuwa Babu na Zitto, Zitto ni bora zaidi na hasa ubora huo unaongezeka ukiwapima kutokana na maono ya wanakigoma.

Zitto ni mbunge wa Kigoma ambaye kupitia yeye Kigoma ya sasa sio kama ile ya zamani, ambayo haikuwa chini ya zitto, waulizeni wana kigoma wanajua na wanafahamu haya. Lakini labda niwaulize wale bendera fuata upepo ni lipi exceptional ambalo babu kalifanya kwa wanakigoma hata limpe credit above Zitto na watu waamini eti kutoka kwenye thread ya JF kuwa Slaa anakubalika Kigoma kuliko Zitto,ni ajabu!!!

Acha Zitto, kwa uwezo na maarifa mimi binafsi nimemuacha mbali sana Mzee wangu huyu, kwani mimi ninao uwezo wa kupima hali ya hali na kufanya maamuzi stahiki kulingana na hali husika ila babu uwezo huo hana, hivi kweli alishauriana na Mama Junior vizuri na wote wawili wakakubaliana kuwa jamaa aende kigoma ili akamkomeshe Zitto.!!!!

Hata siku moja sikuwahi kuamin kuwa Slaa ana uwezo wa kufanya NCHI HII KUTOTAWALIKA kama ilivyo kuwa siamin Slaa anamkomesha Zitto huko kigoma.

Kama huo ndio upeo wako wa kutafsiri na kuelewa mantiki ya alichokiandika mleta maada (and still unaamini una uwezo mkubwa kiakili zaidi ya Dr Slaa) then may the Good Lord have mercy on your poor and corrupted soul!
Kuwa na akili ni pamoja na kujitathimini mwenyewe kiusahihi, its ignorance if not sheer idiocy of the highest order kwa mtu ambae (a) ana questionable degree kutoka a very ordinary local university kujilinganisha na mtu mwenye PhD kutoka one of most oldest and prestigious universities in the world; and (b) mtu ambae hajawahi kushika madaraka kwenye a well functioning organization compared na mtu aliewahi kuwa Katibu wa Baraza la Maaskofu for more than a decade (ukiachilia mbali uongozi CHADEMA)!
 
Fafanua: Lipi sikio na kipi kichwa? Lipi govi na upi mshoroboko. Ukifafanua utakuta kuna mtu unamtukana. Ni vema ukatumia lugha nzuri, utaeleweka.
Toka lini sikio likazidi kichwa? toka lini govi likawa na thamani dhidi ya mshoroboko wenyewe?kutahiri kunafaida kubwa kwa afya ya akili na mwili...si vema kumfananisha mchumia tumbo dhidi ya mzalendo mwanamapinduzi wa kweli...
 
Unapolinganisha watu, umri nao huwa unaangaliwa sana.Hata ukilinganisha maendeleo ya watu wawili tofauti, umri wao lazima upewe nafasi. La sivyo utakuwa unamuonea mwenye umri mdogo
 
Na ukiangalia umri wao wakati ZzK ana umri huo Katibu katika umri kama huu alikuwa ame achieve nini mkuu????!!!!!!!

Maana kashaishi miaka mingi sana hili nalo liangaliwe

Sasa kama ameanza kuwa mnafiki katika umri huu akifika umri wa Dr Slaa si ndo atakuwa Mchawi kabisa...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom