Aikande Kwayu: Why I think my party’s CHADEMA decision is wrong!

Aikande Kwayu: Why I think my party’s CHADEMA decision is wrong!

Excellent analysis! Zitto's dismissal will tear the party apart. Mbowe fears zitto's participation as the comming party elections as candidate. Shame on u DJ mbowe and silly tundu

Which party? don't you think that a party that stands on its values such as CDM will gain more strengths than your views
 
Mtahangaika sana Mkumbo na Mwigamba wameamua kumkinga mtu wao, hamuwezi kupanga mipango anayojadili hadi namna ya tabia ambayo mnataka huyo kiongozi awe anaiishi hata maswala aambayo anatakiwa kuyafanya kufanikisha mkakati halafu mseme ati yeye hajui huo mkakati! Please give me a break! Kimsingi mnapaswa kumshauri njia bora ya kutafuta suluhu na siyo kumjanza ujinga wa innocence!

mashabiki wakubwa wa hii ishu ni wanaCCM wasiowatakia mema ninyi CDM...sio kwamba mnapendwa sana ila wanafanya hivi kuwavuruga...cha msingi ninyi wenyewe muangalie the best way ya kusolve hii ishu otherwise hawa jamaa wanafurahia. Jamaa alishakiri kuwa ana makosa, cha msingi asikilizwe kama anajuta ajutie kisha asamehewe then u start afresh.
 
Siku sita baadae yaani Jumatatu ya tarehe 23/6/2008 saa 07:52 asubuhi, Zitto alipigiwa tena simu na Ramadhani Ighondu akimkumbusha maongezi yao waliyo fanya siku 6 zilizopita na kumuomba siku hiyo jioni waonane, ingawa Zitto alionekana kusita kidogo lakini baadae alikubali, Walikubaliana wakutane Sea Cliff Hotel, ilipofika jioni ya siku hiyo Zitto akiwa na marafiki zake wawili Omar Lyasa na Abdalah Said walifika Sea Cliff Hotel wakaketi na kuagiza vinywaji, Baada ya kama dakika kumi hivi Zitto alipokea simu ikimuelekeza alipo bwana Ramadhani Ighondu kisha Zitto akawaambia marafiki zake wamsubiri kidogo, akaondoka kuelekea aliko elekezwa…..

 
zitto wewe ni jinamizi na hilo utalijua soon kwani no one in chadema or out chadema like your behavior,hata ccm wenyewe ndo maanawakakununua pesa nyingi na mahayawani wenzako..aibu kijana umepoteza dira na hii ni kwaida ya masikini akipata
 
Excellent analysis! Zitto's dismissal will tear the party apart. Mbowe fears zitto's participation as the comming party elections as candidate. Shame on u DJ mbowe and silly tundu

Hata ule waraka ulikuwa na dharau matusi kama yako...tunajiuliza kama kuna nia ya dhat na nzuri dharau, matusi ya nini?
 
image.jpg Aikande.......Kufeenda Miro........
 
Go 2 hell zito wa kawaida sana kama vip hama nae chama mwende huko walikowatuma lol
 
Aikande , eti wewe kumbe ni mchagga? Mbona wanasema eti Zitto anahukumiwa kwa kuwa sio Mchagga ......wewe mbona unaoenda kinyume na hoja hiyo wakati ikiwa unaona Zitto kaonewa! Kuna la kujifunza hapo Ze maco polo, Ritz, Chamviga ....et all....
 
Huu ushauri ulipaswa ufanyiwe kazi ipasavyo
 
zitto wewe ni jinamizi na hilo utalijua soon kwani no one in chadema or out chadema like your behavior,hata ccm wenyewe ndo maanawakakununua pesa nyingi na mahayawani wenzako..aibu kijana umepoteza dira na hii ni kwaida ya masikini akipata
Wehu na wachawi kama wewe ndio mnaowapotosha viongozi wenu
 
Huyu akae kimya tu..watu wakianza kumjibu anaanza kusema hawana huruma kafiwa..akae kimya amalize msiba kwanza
 
Huyu akae kimya tu..watu wakianza kumjibu anaanza kusema hawana huruma kafiwa..akae kimya amalize msiba kwanza
Chuki binafsi na ubaguzi ndio vimewafikisha hapo
 
Nina idea moja ambayo kama serikali ikiamua kuifanyia kazi
a. Itainua jina la Utalii wetu
b. Itaingiza fedha za kigeni kuliko mahali popote Afrika
c. Na itaifanya Tanzania kuwa katika hadhi ya pekee yake kila watu wanapozungumzia utalii duniani.

I would like though to patent it. Sijawahi kuisikia mahali popote, haipo katika sera zetu za utalii, na siyo mawazo ya mtu mwingine (I didn't plagiarize). How can a Tanzanian patent an idea that will affect the tourism industry and earn him some good money?

Can I patent an Idea in US that will affect another foreign country? I'm willing to share that idea with someone who knows architecture, drawing, and marketing.....Believe me, once you hear it, It'll blow you mind!!!!!!

Hii Kali sasa hata nyinyi hamumtaki tena....... Kweli nyinyiem kwa hila mmezidi.....inabidi refa apulize kipyenga sasa.
 
Back
Top Bottom