Ndugu ukubwa wa eneo ktk nchi ama wingi wananchi si hoja madhubuti ya kuiona nchi haiwezi kujitawala.
Zipo nchi zenye wakazi chini ya milion 1 na zina utawala kamili kama nchi.
Hoja hapa Wazanzibar huu si muda wa malalamiko tu, ni wakati pia ma kuweka mikakati tunajipangaje kama nchi kua nje ya muungano?
Naamini huu moto tuliouwasha sisi kwa makele wenzetu watanganyika wanajiandaa kimyakimya.
Ndugu zangu wazanzibar,Ni muda mrefu sasa tumekua ktk manung'uniko kwamba serikali ya Muungano(Tanganyika) wanatunyonya.
Kumekua na rai nyingi sana za kutaka mamlaka kamili ya nchi Zanzibar ili tujiendeshe kama nchi nje ya Jamhuri ya Muungano.
Wapo wazanzibar walofika mbali zaidi na kusema sasa Muungano basi.
1.Napenda niwaulize ndugu zangu wazanzibar kabla hatujapaza yowe la kuukataa muungano huu je tumejiandaaje kujiendesha kama nchi kamili nje ya Muungano.
2.Niwajuze wazanzibar wenzangu kelele na manung'uniko yetu yamewaamsha watanganyika sasa wako mbioni kupata nchi yao nje ya muungano.wao wamejipanga tayari kwa hilo.
3.Ndugu zangu wazanzibar kama tulikua tunafanya utani wenzetu wapo serious,kiuchumi,kisiasa.
Wamejiimarisha ktk nyanja nyingi muhimu kama nchi.JE sisi tumejiandaaje!
Rai yangu kwenu mdundo huu wa kuvunja muungano usituleweshe naona mwisho wake tutakuja kuwapigia magoti watanganyika turudiane kuungana.
Upepo wa mabadiko
Upepo wa kisiasa
Lazima tuangalie tuna vyuo vikuu,vyanzo vya mapato zanzibar,ajira,n.k
Malalamiko na manung'uniko yasio na tija hayafai.
Baada ya muungano kuvunjika, Pemba nao watataka kuwa nchi ili kujitenga na Unguja.
Hapo sisi watanganyika yetu macho.
Pili ni vyema ndugu zetu wa unguja na pamba wakaanza kuhamisha mali zao kwenda kwao. Ardhi mliyonunua anzeni kuiuza wakati huu mtapata bei nzuri
Mkija kuondoka kwa mtindo wa operation kimbunga, watanganyika waichukua bure
kwani mwanaume kwenye ndoa huwa anafaidika nini toka kwa mke wake!
Pengine hukunielewa.Usijidanganye. Tu nchi na tutaendelea kuwa nchi. Muda ndio utakaojieleza kuwa hamko sahihi!
"Haa! hivi kwani kabla ya huu muungano tulikuwa tukijiendeshaje? tumetimiza miaka 50 ya uhuru na mapinduzi, hivi lengo la yote hayo tuyasalimu mamlaka yetu kwa nchi nyengine atuendeshee?
Unavyoongea ni kam Mh Nahodha, kisha anaunyemelea Urais wa Zanzibar wakati tayari hajiamini kiulinzi wala kiuchumi. Wapo wanoweza na ndio tutowaweka madarakani 2015"
Ndugu zangu wazanzibar,Ni muda mrefu sasa tumekua ktk manung'uniko kwamba serikali ya Muungano(Tanganyika) wanatunyonya.
Kumekua na rai nyingi sana za kutaka mamlaka kamili ya nchi Zanzibar ili tujiendeshe kama nchi nje ya Jamhuri ya Muungano.
Wapo wazanzibar walofika mbali zaidi na kusema sasa Muungano basi.
1.Napenda niwaulize ndugu zangu wazanzibar kabla hatujapaza yowe la kuukataa muungano huu je tumejiandaaje kujiendesha kama nchi kamili nje ya Muungano.
2.Niwajuze wazanzibar wenzangu kelele na manung'uniko yetu yamewaamsha watanganyika sasa wako mbioni kupata nchi yao nje ya muungano.wao wamejipanga tayari kwa hilo.
3.Ndugu zangu wazanzibar kama tulikua tunafanya utani wenzetu wapo serious,kiuchumi,kisiasa.
Wamejiimarisha ktk nyanja nyingi muhimu kama nchi.JE sisi tumejiandaaje!
Rai yangu kwenu mdundo huu wa kuvunja muungano usituleweshe naona mwisho wake tutakuja kuwapigia magoti watanganyika turudiane kuungana.
Upepo wa mabadiko
Upepo wa kisiasa
Lazima tuangalie tuna vyuo vikuu,vyanzo vya mapato zanzibar,ajira,n.k
Malalamiko na manung'uniko yasio na tija hayafai.
na kweli mpewe nchi yenu kwa sababu mmetunyonya sisi watanganyika sana...sisi wenyewe tunaitaka sana Tanganyika yetu
Nilishasema wazi siku muungano unavunjika sherehe yangu nitatembea kwa miguu kuanzia Posta hadi kibaha maili moja!! Wazanzibar wamemtukana Baba wa taifa vya kutosha pamoja na fadhira zote alizotoa!!
wazanzibari hasa wapemba walizoe vitu vya bure, mawazo yao wanajua wakibaki wenyewe waarabu wataleta vitu kama walivyokuwa wanawatawala, wakae wakijua hii ni karne nyingine kabisa hamna cha bure,
Kama hujui Historia ya Zanzibar bora ukae kimya makanisa yalikuwepo kabla hata ya muungano. na huo ukafiri unaousema ndio unawapa kula bila makafili kuja zanzibar kuangalia makanisa yao hamuendi chooni wala watoto wenu hawaendi shule..Kodi za Makafili wa Tanganyika ndio zimewabeba hadi leo!! Mlikua mnabeep kuvunja muungano sasa tumewapigia subilieni katiba mpya ije tuwape notsi masaa 48 mtaondoka na vikapu vyenu kurudi pembaFadhila za baba wa taifa kwa Zanzibar ni kufanya hila na kufanikiwa kuimarisha ukiristo-ukafiri kutoka bara wakaanza kujenga makanisa na kuimba kwaya.,
mgekuwa kweli munaitaka tanganyika yenu ilipotoka rasimu ya kwanza tungeona mishe mishe zenu kuondoa neno Tanzania Bara mukaweka Tanganyika. Wazanzibar ndio waliopiga kelele mpaka ikarudi tanganyika kwenye rasimu., na mpaka imetajwa kwenye rasimu hakuna mtanganyika aliyesherehekea wala kuonekana kulipokea jina la Tanganyika
Fadhila za baba wa taifa kwa Zanzibar ni kufanya hila na kufanikiwa kuimarisha ukiristo-ukafiri kutoka bara wakaanza kujenga makanisa na kuimba kwaya.,