Recent content by kokakola

  1. kokakola

    JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusiana na kampuni ya Cocacola KWANZA ( Dar- Mikocheni )

    Huko nyuma nilielezea mapungufu mengi sana ya kampuni ninayoifanyia kazi ( Cocacola Kwanza company Dar-Mikocheni ) ambapo wachache wakatafsiri kwamba eti kufanya vile ni kuiponda kampuni. Ndugu zangu, kitanda usicholalia haujui kunguni wake. Waulizeni wafanya kazi watanzania walio katika...
  2. kokakola

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

    Mhh
  3. kokakola

    JamiiForums Tanzania Hivi kima cha chini cha mshahara wa mwajiriwa ni kiasi gani?

    Naomba kuwekwa sawa juu ya hili. Hivi kima cha chini cha mshahara kwa wafanyakazi ambao siyo wa serikalini ni kiasi gani.
  4. kokakola

    JamiiForums Tanzania Poleni, Coca-Cola Kwanza

    Naamini viongozi wapo. Mimi nimeamua kusema kwasababu nimeshindwa kuvumilia. Kazi ni kwa serikali kuimulika hii kampuni
  5. kokakola

    JamiiForums Tanzania Poleni, Coca-Cola Kwanza

  6. kokakola

    JamiiForums Tanzania Poleni, Coca-Cola Kwanza

    Ndugu zangu, habari za mida. Nakuja tena mbele yenu leo nataka kunena jambo. Wakati mwingine pesa huweza kumziba mtu mdomo na akawa kimya kabisa, nakubali hii ni kweli. Ila mimi nashindwa kuvumilia ndiyo maana huwa naandika yale ninayoyaona si mazuri na ya kinyonyaji hasa kwa vijana wetu ambao...
  7. kokakola

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji pitieni hapa

    what you say is true
  8. kokakola

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji pitieni hapa

  9. kokakola

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji pitieni hapa

    Sisi waajiriwa tumeongezewa mshahara. Vipi nyinyi vibarua bado mnalipwa 5000 kwa siku? Hawajawaongezea?
  10. kokakola

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji pitieni hapa

    Kwakweli nchi hii inasikitisha sana. Vijana wetu wanalia hawana ajira huku baadhi ya nafasi za ajira wanapewa wageni kutoka nje tena kinachosikitisha zaidi unakuta kazi wanazofanya hata watanzania wanaweza kuzifanya. Tena utakuta hao wageni hata vibali vya kufanya kazi hapa nchini hawana...
  11. kokakola

    JamiiForums Tanzania Cocacola kwanza kuna madudu mengi sana, wafanyakazi wake hawathaminiwi

    hii thread nimeikubali. kumbe wafanyakazi wa CCK tupo wengi humu
  12. kokakola

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mgomo vingunguti katika kiwanda cha PEPSI

    Habari za muda huu wakuu. Kuna tetesi hapa kwamba vibarua walio katika kiwanda cha Pepsi kilichopo vingunguti jijini Dar es salaam wamegoma. Je ni kweli?. Mwenye taarifa tafadhari. NOTE. Hapa Cocacola kwanza Ltd ( Dar rs salaam ) na sisi siku na muda wowote tunakinukisha pia. Tunanyonywa sana...
  13. kokakola

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Mh, Jenister Muhagama na Abdallah Possy

    Kwakweli serikali iliangalie hili swala. Watu tunanyonywa mno vibarua
Back
Top Bottom