kokakola
Member
- Nov 25, 2015
- 30
- 17
Ndugu zangu, habari za mida.
Nakuja tena mbele yenu leo nataka kunena jambo. Wakati mwingine pesa huweza kumziba mtu mdomo na akawa kimya kabisa, nakubali hii ni kweli. Ila mimi nashindwa kuvumilia ndiyo maana huwa naandika yale ninayoyaona si mazuri na ya kinyonyaji hasa kwa vijana wetu ambao tunasema ndio taifa la kesho.
Ndugu zangu, mimi sitaki kuzibwa mdomo na pesa. LAZIMA NISEME TU japo ukweli siku zote huwa ni mchungu.
Mimi ni mwajiriwa wa kampuni ya CCK ( yaani CocaCola Kwanza ). Cocacola ni kampuni kubwa sana. Ila nasikitika kusema kwamba hii ni kampuni kinyonyaji tu hasa kwa wazawa. Ila wanaoifanya hii kampuni kuwa ya kinyonyaji ni baadhi ya wafanyakazi tena hasa wageni walioletwa hapa kufanya kazi ambazo hata wazawa wanaweza kuzifanya.
Siku kadhaa zilizopita hapa JF nilianzisha thread iliyokuwa na kichwa cha habari Uhamiaji pitieni hapa. Nilieleza mengi tu hadi nikawataja baadhi ya viongozi wageni kutoka India, Somalia, UK, Kenya, and South Africa wanaolipwa pesa nyingi kwa kufanya kazi ambazo hata vijana wetu wa hapa nchini wako na uwezo wa kuzifanya. Nikasema kwamba hawa wageni kutoka nje wanaigharimu sana kampuni kwa mishahara yao mizito.
NAOMBA NITOE POLE ZANGU ZA DHATI KWA BAADHI YA WATU.
1)Pole sana Mkurugenzi wangu ( MD ) maana unayaamini ya kuambiwa na viongozi tunaokaa maofisini tukila AC kuliko ya watu wa chini kabisa wanaofanya kazi kwa jasho ( wapiga ngoba kule warehouse na production na idara nyingine )
2) Kila mfanyakazi wa hapa HR nyuma yake kuna ndugu/jamaa zaidi ya watano ambao wameajiriwa kwa kupitia mfumo wa UNDUGUNIZATION. ( Usipokuwa na ndugu hapa Cocacola Kwanza ( mikocheni ) utazeeka ukiwa kibarua tu. Poleni vibarua mlio kule Warehouse.
3) Poleni sana wafanyakazi wenzangu maana wengi wenu Masaa mnayoyafanyia kazi ni mengine na mnayolipwa ni mengine ( Overtime )
4)Poleni sana Madereva shanta maana najua kampuni nzima mpo mashanta watatu tu na kila siku mnaingia usiku na kukesha hadi asubuhi miaka yote. Lakini night allowance yenu mara nyingine haifiki hata elfu kumi. Ila aminini nawaambia kuna watu wanaingia asubuhi kila siku na unakuta ana night allowance kubwa kukuzidi hata wewe unayeingia usiku kila siku( niwataje??) . Poleni sana.
4)Pole kwa wafanyakazi wa production. Sasa hivi hakuna formula ya kueleweka. Watu mnaingia kazini tu kila siku na sometime hata ukiwa nyumbani unapigiwa simu unaambiwa kesho uingie. ( Usipoingia unapigwa MEMO )
5) Poleni sana vibarua mlio warehouse. Tena nyinyi ndo nawapa pole sana maana najua jinsi msivyo thaminiwa na yeyote siyo yule Pankaj ( muhindi ) wala Oloto ( mkenya ) tena hawanaga kabisa muda wa kuongea na nyinyi vibarua na haijawahi kutokea. Sisi waajiriwa tunaongezewa mishahara kila baada ya muda Fulani. Lakini nyinyi na ugumu wote huu wa maisha mnalipwa 5000 na hakuna anayewajari siyo Basil wala Erick Ongara.
7) Pole kwa Luiva ( mzungu ) na James ( production ) maana watu wanazidi kuwachukia kila kukicha ingawa mkikutana nao mnachekeana. James ZINGATIA sana hili maana watu washaanza kusema kwamba bora manager Job aliyeondoka kuliko wewe.
8)Pole sana Warehouse manager Otego. Kijana najua hauna ubavu wa kupinga chochote atakachosema Oloto maana yeye ndo aliyekuweka hapo kwenye hicho kiti. ANGALIZO: Angalia atakuponza.
9) Pole sana Pankaj ( muhindi ) kwa kudhani kwamba yule kibarua kule warehouse anayelipwa 5000 kwa siku anaigharimu sana kampuni arafu wewe na wageni wenzako 17 kutoka nchi za nje mnaolipwa zaidi ya milioni 16 kwa mwezi kila mmoja eti hamuigharimu kampuni.
Hivi Nchi hii itaendelea kama tutawazarau wazawa na kuwatukuza wageni??