Hivi kima cha chini cha mshahara wa mwajiriwa ni kiasi gani?

kokakola

Member
Nov 25, 2015
30
17
Naomba kuwekwa sawa juu ya hili. Hivi kima cha chini cha mshahara kwa wafanyakazi ambao siyo wa serikalini ni kiasi gani.
 
Kama wanafuata sheria ya ajira watakuwa sawa na serikalini au kukaribiana
 
Private sector ni jipu kwenye case za mishahara, serikali inabidi iwaangalie sana hawa wawekezaji ,inatoa ajira nyingi ila mishahara yao vuruguvuru
 
harafu sector binafsi ni noma kwa kukwepa kod kupitia idadi ya wafanyakaz wenye mikataba weng wao hukwepa kutoa mikataba ili aonekane ana wafanyakaz wachache kuna kampuni moja la archtect ni baraaaa
 
Back
Top Bottom