Tetesi: Mgomo vingunguti katika kiwanda cha PEPSI

kokakola

Member
Nov 25, 2015
30
17
Habari za muda huu wakuu. Kuna tetesi hapa kwamba vibarua walio katika kiwanda cha Pepsi kilichopo vingunguti jijini Dar es salaam wamegoma. Je ni kweli?. Mwenye taarifa tafadhari.

NOTE.
Hapa Cocacola kwanza Ltd ( Dar rs salaam ) na sisi siku na muda wowote tunakinukisha pia. Tunanyonywa sana vijana.
 
Back
Top Bottom