Ukiona maisha yanakuwa magumu sana ndio unakaribia mwisho wa mateso.Kujiuwa sio solution ya matatizo Bali ni kujiongezea adhabu kwa mwenyezi Mungu.Baada ya siku arobaini utapata jibu la shida zako
Pole, kufanana inaweza kwenda mpaka kizazi cha tano 'physical appearance' kwa sababu hiyo huwezi physically ukatumia kutofanana na mwanao kama kigezo cha kuibiwa mkeo.Ukitaka kuingia undani ni DNA, ambayo ugumu wake naona umeona. Nakushauri mpokee huyo mwanao achana na mawazo ya kumfananisha na...
Pole sana ndugu,nakushauri uhame hapo nyumbani kwa muda mkeo asijue upo wapi maisha yako yanathamani sana kuliko huyo mkeo.Tafuta tiba tena na jaribu kusoma zaburi 35 kila siku usiku na asubuhi unapo ammka.
Dunia kubwa sana hii na ina mambo mengi,nakushauri hama kwa muda hapo nyumbani mkeo asijue upo wapi tafuta tiba tena harafu sikiliza naamini kuwa utapona.Muombe mungu na soma sana zaburi ya 35 kila siku asubuhi na usiku unapolala.
Wanaishi wilaya ya kyela na tukuyu,
Wachapakazi na majasili,
Wanajali sana familia zao,
Huwa hawabembelezi mtu si mke wala rafiki,
Ukileta mchezo unakula kichapo au kama ni mke taraka hiyo,
Ukileta za kuleta wanakuchana live!,
Wanajua kupenda na hujituma kwelikweli loh!
Huo ni uzembe wa kituo chenyewe wala si wizara.Kwani kwa sasa wizara ya afya inagawa fedha kulingana na idadi ya watu wanao hudumiwa katika kituo cha huduma za afya.Mara nyingi katika vituo vingi watendaji huagiza dawa ambazo wanaona zina maslai kwao na kuacha dawa ambazo ni life serving kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.