Nataka kujua sifa za wanaume wa kinyakyusa

Nataka kujua sifa za wanaume wa kinyakyusa

ahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa_kazi kweli kweli.
 
Treni hizi za ukabila hazina direction zinaenda enda tu.
 
Sample yangu mie ni majirani zetu ambao ni loving,gentlemen na wana msimamo..
 
Kichwa cha khabari chajieleza..karibuni kwa michango yenyu bhana

hizi thread zingine bwana, hivi ni sifa za namna gani unaulizia, maana kuna zingine zinatajwa hapa wewe unazikimbia?
 
Wanaishi wilaya ya kyela na tukuyu,
Wachapakazi na majasili,
Wanajali sana familia zao,
Huwa hawabembelezi mtu si mke wala rafiki,
Ukileta mchezo unakula kichapo au kama ni mke taraka hiyo,
Ukileta za kuleta wanakuchana live!,
Wanajua kupenda na hujituma kwelikweli loh!
 
Wanaishi wilaya ya kyela na tukuyu,
Wachapakazi na majasili,
Wanajali sana familia zao,
Huwa hawabembelezi mtu si mke wala rafiki,

Ukileta mchezo unakula kichapo au kama ni mke taraka hiyo,
Ukileta za kuleta wanakuchana live!,
Wanajua kupenda na hujituma kwelikweli loh!

Igwe like this.......lo!
 
Easy Kongosho inabidi uwe very careful vinginevyo unaweza kuhamisha internal organs hivyo kusababisha madhara makubwa 🙂🙂

Sifa yangu kuu, msome zomba hapo juu 🙂
Nina countries 12

NOte: Country = inches
 
Last edited by a moderator:
ladywho naona watu hawataki kupa msaada..mimi nimesoma nao hawa ngoja nkupe..
1. Kelele-sifa ya kwanza kabisa hawa jamaa wana kelele mnoo..yani hata kama waongea nae ana kwa anashout kinoma.
2. Kujiskia-kutana na alieenda shule kidogo afu awe na vihela...atajitangaza mtaa mzima yeye ndo mwasakafyuka..
3. Kujionyesha/too boastful- akiwa na kitu cha tofauti na wengine..let say kanunu kiatu au kashona suti mpya..haoni hatari kusema yeye tu.
amependeza hata kama mpo watu 2000
4.hawawakubali makabila mengne kama wapo zaidi yao..
5.hawawakubali wanawake wao wa kinyakyusa..-hii ndo tabia mbaya kuliko ya hawa watu..wengi wanasema hawawezi oa huko kwao..hawapendi wanawake wao! Cjui why? Ntafanyia utafiti hli..
6.dharau..

Ila ukikuta wenye akili wanaburuza kwelikweli.!
7. Sio wachoyo.-msifie sifie tu..

Ina ka ukweli kwa karibu 80% hiyo inaweza kumsaidia kufanya maamuzi
 
Ha ha haaaaa imekula kwako,Wa wp huyo?Kyela,tukuyu,kiwira kwa mwankenja,masoko,Tenende,Kambasegele,Lwanga,Mbambo,Nsitu,Mbambo,Itete,kanga,Nselya,Mbugani!Wa wp huyo muulize ndo tutajua cfa zake
 
sahau kuzaa handsome boy au miss mwenye mwili mzuri na uso wenye kuvutia, kwani haijawahi tokea wakapatikana kutoka mbeya.
 
Ha ha haaaaa imekula kwako,Wa wp huyo?Kyela,tukuyu,kiwira kwa mwankenja,masoko,Tenende,Kambasegele,Lwanga,Mbambo,Nsitu,Mbambo,Itete,kanga,Nselya,Mbugani!Wa wp huyo muulize ndo tutajua cfa zake

itagata,masukulu,katonya,lyebhe,lwanga,imezu,kasumulu au nditu?
 
sifa za wanaume wa kinyakyusa
-wanaume wote wa kinyakyusa wana uume!
-wanafanya kazi
-kwa vile ni wanaume wana nguvu za kiume
-wana majina,ukikutana na mwanaume wa kinyakyusa hana jina jua lichomoze kigoma lizame kigamboni
-wanaoa
-wanavaa nguo


hizo ni sifa ambazo lazima uwakute nazo!kama unataka nyingine zaidi ya hizi unaweza kupata kwa mwanaume yoyote bila kujali kabila lake!nimekujibu ki-shabaan robert sina hakika kama upeo wako unakuruhusu kuelewa majibu yangu!
 
Kichwa cha khabari chajieleza..karibuni kwa michango yenyu bhana

sifa ya kwanza ya mwanamume wa kinyakyusa ni LAZIMA AWE MNYAKYUSA!
EH ckujua mpaka leo watu wanamakabila! mie mbona huwa naona wote waTZ tu michanganyiko aliyosema the Boss inaonyesha wazi!
 
Back
Top Bottom