kituo cha afya chalinze chakosa dawa za kuhudumia majeruhi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kituo cha afya chalinze chakosa dawa za kuhudumia majeruhi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by meningitis, Aug 11, 2012.

 1. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  kuna habari iliyotolewa na ITV katika taarifa ya habari ya saa mbili usiku iliyohusu mabasi matatu na track moja kugongana, ajali hii ilitokea maeneo ya wami karibu na chalinze.baadhi ya majeruhi walipelekwa katika kituo cha afya chalinze lakini kwa bahati mbaya walishindwa kupata huduma sahihi kwa kuwa kuna ukosefu wa dawa na vifaa tiba.wananchi waliohojiwa walionyesha hasira zao dhidi ya serikali na mbunge wao.

  Maoni yangu
  ni hatari kwa kituo hiki kukosa dawa na vifaa muhimu kwani kipo barabarani na hupokea majeruhi wa ajali mara kwa mara.
   
 2. N

  Nguto JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,653
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Wanakasrika nini? Hili ndilo lalamiko mojawapo la madaktari.
   
 3. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 180
  Halafu nikamwona mama mmoja akisema wanamgoja mbunge wao wamwadabishe, mbuge wa hapo ni nani?
   
 4. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Kituo cha chalinze kinahudumia wananchi wengi sana sana wa maeneo hayo tarafa kama 3 hivi na vijiji vingi sana acha majeruhi wa mara kwa mara...ukifuatilia mgao wanaopata toka MSD ni sawa na vituo vya kawaida box 2 tu za dawa kwa mwezi!hapo sio Mbunge wala diwani ni mfumo mzima wa madawa kwenda vituo vya afya na zahanati zake Tanzania nzima
   
 5. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Ikumbukwe pia ni jirani na Msoga.
   
 6. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #6
  Aug 11, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  hilo jimbo ndio lilikuwa linaongozwa na mkuu wa kaya. mbunge wa sasa anaitwa bwanamdogo
   
 7. N

  Naytsory JF-Expert Member

  #7
  Aug 11, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 1,590
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mkuu wa kaya alishawaambia serikali haina uwezo kutoa huduma bora za jamii hasa vitendea kazi na kuboresha maslahi ya watenda kazi. Ila cha kushangaza serikali hiyo hiyo ni tajiri kulipa posho na mishahara mikubwa kwa daraja la watawala. Na wenyewe kwa kutowajali hawa watu wa daraja la chini wanaona ni vema kufanya hivyo kwani watanzania wamezoea shida.
   
 8. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #8
  Aug 11, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,896
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Ah hao ndo waliotuletea balaa ya kukubali kuwa na mbunge dhaifu tokea miaka hiyo mpaka akajiona anaweza hata kuongoza nchi.

  Alishawaambia kuwa madai yao hayatekelezeki. Yupo anamzika raisi wa Ghana wakati huku ajali nyumbani kwake imeua watu 12 wa Kenya. nasubiri nione kama ataenda na Kenya kuzika au atamtuma Riz 1
   
 9. MPIGA ZEZE

  MPIGA ZEZE JF-Expert Member

  #9
  Aug 11, 2012
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 515
  Trophy Points: 280
  Pia jimbo hili hili lilikuwa mikononi mwa Mukulu kwa takriban miongo miwili kabla hajahamia Magogoni kwa Mfugarushwa!
   
 10. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #10
  Aug 11, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hata majengo ya kituo kile sidhani kama yote yalijengwa na serikali.ni aibu na kukosa uwajibikaji
   
 11. james chapacha

  james chapacha JF-Expert Member

  #11
  Aug 11, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 942
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Swala la kituo cha afya chalinze lipo MAHAKAMANI tusubili maamuzi ya mahakama.
   
 12. peri

  peri JF-Expert Member

  #12
  Aug 11, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  tatizo la uongozi mzm kuanzia wilaya mpk mkoa.
  Mbona tabora ilipotokea ajali mkuu wa mkoa alipeleka madaktari wa ziada na dawa kwa haraka ili kuhudumia majeruhi?
  Ni suala la uwajibikaji wa viongozi wa ngazi husika.
   
 13. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #13
  Aug 11, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  acha hadaa za kijiweni mkuu.madaktari wa ziada watokee wapi?
  Hao viongozi wa ngazi husika wameteuliwa na nani?
   
 14. k

  kofiliko Member

  #14
  Aug 11, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Huo ni uzembe wa kituo chenyewe wala si wizara.Kwani kwa sasa wizara ya afya inagawa fedha kulingana na idadi ya watu wanao hudumiwa katika kituo cha huduma za afya.Mara nyingi katika vituo vingi watendaji huagiza dawa ambazo wanaona zina maslai kwao na kuacha dawa ambazo ni life serving kama infusion na medial supplies nyingine na wengine si waaminifu kwani hudokoa dawa.Pia ngazi ya wilaya na mkoa wanapaswa kuangalia jinsi ya kuboresha kituo cha afya chalinze ili kiweze kukidhi mahitaji pale kitakapotakiwa kuhudumia majeruhi.
   
 15. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #15
  Aug 11, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  una takwimu za mara ya mwisho ni dawa gani zilipelekwa chalinze na ni lini?mzembe ni wewe unayeeleza kwa misingi ya makaratasi badala ya uhalisia.
  Unajua kwamba mpaka muda huu MSD hawajalipwa au kutengewa fedha za kupeleka dawa vituoni?haiwezekani kuanzia muhimbili mpaka chalinze wakuu wa vituo wakawa wazembe,labda uniambie aliyewateua ni mzembe.
   
 16. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #16
  Aug 11, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,393
  Trophy Points: 280
  Ccm na serikali yake ni kansa!
   
 17. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #17
  Aug 11, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mbunge hajapeleka hata panadol hivi mbunge wao ni Bwanamdogo? Jimbo hili limeongozwa na Jk,Maneno lakini kuna vituo vya afya havina dawa za kuhudumia wagonjwa?wht a shame!
   
 18. s

  step Senior Member

  #18
  Aug 11, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
   
 19. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #19
  Aug 11, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hili ni tatizo la msingi ni lazima lifanyiwe kazi.
   
Loading...