Recent content by kochaMchezaji

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa mtu mtamu jamani, acheni tu...

    . Nime sleep nayo ngoma hii mpaka asbuh hii na sasa ndo nimetoka kuirejesha kwake. Chai Nzito ya Maziwa hiyo Utamrudishaje kwake wakati mmeiba Sent using Jamii Forums mobile app
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukitaka ukosane na rafiki omba akukopeshe fedha...

    Duuh ! Asilimia kubwa sana waliochangia inaonyesha hawajawahi kuomba mkopo kwa Rafiki ila wameombwa wao tu MEMBERS WA JAMII FORUM OYEE! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukitaka ukosane na rafiki omba akukopeshe fedha...

    Kama unazo na nafasi ya hela ipo na umemsoma Vizuri shughuli anayoenda kufanya mkopeshe tu Ndio urafiki wenyewe maana Hamna Formula kuwa lazima Hatalipa na utapoteza rafiki wewe mwenyewe huna mkataba kuwa hamma siku hutahitaji msaada kwa marafiki na sio kwamba lazima kuwa utasaidiwa na huyo huyo...
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Samatta kwenda Aston Villa : Haki za Kimbangulile FC zizingatiwe

    JINA MBAGALA KUJULIKANA KIMATAIFA. WATALITAMKA MBAEGAILER Sent using Jamii Forums mobile app
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa tzs milioni 10 biashara kwa wale walio busy sana yenye faida ya tzs 1.5m

    Biashara ya Kuweka Stock ya Mahindi haitabiriki Kuna Mwaka itakiwa Nzuri na kuna Mwaka inakuwa sio Nzuri sana ila kukukata sio rahisi kama hukuwa mzembe ,inatakiwa ukae ktk biashara hiyo ili Mazuri yakukute pia Mwaka mbaya uwe changamoto kwako. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nakodisha Gari Aina ya Toyota pick up double cabin new model

    Samaki Ni White Gold Ndio maana imefichwa na Shombo achana na hizo biashara wa Majina uta Grow baada ya Muda utapaata wazo na uwezo wa kuwa na Truck kubwa ya kubeba Samaki Sent using Jamii Forums mobile app
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Chukuwa dagaa Mwanza njoo uuze Morogoro Sent using Jamii Forums mobile app
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mkoa huu wa Italia utakulipa $ 27K ya kuhamia huko, fungua biashara, uishi maisha yako mazuri

    Nadhani Ni kama unahama kutoka Dar es salaam unahamia Pemba ,we Wapemba wenyewe wamelala mbele huko Sent using Jamii Forums mobile app
  9. K

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli watu weusi tuna akili ndogo?

    Avriel, Kumbe Bado tunahitaji shule sana kujielewa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wale ambao tunatarajia kurudi kijijini kabla hakuja kuchwa, tujuane tupeane mbinu

    Alichoma sana mihogo mpaka akaja kuwa don pale soko la vyakula Mabibo. Upande wangu naona mjini hutakiwi uwe mvivu na kuchagua kazi Hii kazi ya Mihogo imewatoa wengi waliokuwa na juhudi nayo na kuifanya Muda mrefu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa club laazizi dodoma afariki

    Papaa Sent using Jamii Forums mobile app
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wakinga kwa majina ya kizungu hawajambo, ona haya

    Auckland Kyendesya Sent using Jamii Forums mobile app
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hili jina limenishinda kutamka

    Au Porlonyi Sent using Jamii Forums mobile app
  14. K

    JamiiForums Tanzania Hili jina limenishinda kutamka

    Wenyewe wanata mka kibolonyi Sent using Jamii Forums mobile app
  15. K

    JamiiForums Tanzania Biashara gani yenye kuingiza faida ya milioni 100 mpaka 500/mwezi/wiki/siku?

    Upo Vzr Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom