Kwa wale wenyeji wa dodoma mnaifahamu club la azizi iliyopo makole. Mmiliki wa club hiyo kafariki leo. Huyu bwana alikuwa maarufu sana kwa mambo mengi ikiwamo ya warembo. Basi na apumzike pale alipojiandalia akiwa hai.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.