Recent content by kobilo

 1. kobilo

  Rais Magufuli aagiza Askari, Beatrice Mlanzi kupandishwa cheo kwa kuonesha utimilifu katika kazi

  Utimilifu katika kazi si ni wajibu wa mfanyakazi? Au mimi ndo sijaelewa. Haya madam Bite kula maisha bana
 2. kobilo

  Rais Magufuli, kwanini haujaenda Japan?

  Aende Japan wamshikilie kama Ndege yetu.. We unaumwa nini...
 3. kobilo

  Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

  Mkuu , gari kuwa nzito kuchelewa kuchanganya, yaani ukikanyaga mafuta inakua nzito haikimbii sana. Toyota raum, hii inaweza ikasababishwa na nini?
 4. kobilo

  Yaliyojiri Mahakama Kuu: Mahakama yatupilia mbali mapingamizi ya Serikali dhidi ya Lissu, Shauri la msingi kuendelea kusikilizwa...

  Tuchukulie baba yako ndo angekua kapigwa risasi zaidi ya 16. Wewe ungejisikiaje, halafu unasema haya? Kua na utu mkuu ndugu yangu.
 5. kobilo

  Kuna Taasisi za Serikali ukiajiriwa ni kama umejisajili kuwa maskini milele

  ukiachana na hao wa serikalini kuna jamaa zetu wale wa MUMBAI a.k.a akina PATEL KHUMAR , hawa ukifanya nao kazi kila siku unakua mtu wa madeni.
 6. kobilo

  Sikujua kumbe mi ni Fala Sana...!!!!

  Lakini si ulifanikisha kumfikishia boss wako yule mhindi hizo pesa zake zilizokua kwenye begi?
 7. kobilo

  Machale yamcheza JK , aamua kukagua mashamba yake Dodoma

  Acha wote tuisome namba
 8. kobilo

  ICAP Tanzania,mkoa wa mwanza (misungwi) mjitathimini utendaji wenu.Tumechoka!

  Mimi kama Katibu tawala Njombe mwenye dhamana na mkoa wa Mwanza nimesikia na ntalishughulikia hilo
 9. kobilo

  Mchungaji Anthony Lusekelo aibukia kwa Rais Magufuli aonya makanisa kutumika

  Mnafiki tu hana lolote, kwanza hana influence wala impact kwenye society.
 10. kobilo

  Nimeibiwa 245,000/= MPESA VODACOM

  Swali la msingi ni kwamba kuna uwezekano wa wewe kurudishiwa hela yako au ndo utakua umepigwa?
 11. kobilo

  Tahadhari ukienda kununua gari show room kuwa makini sana

  Sema hili beat lako Jombaa ni zaidi ya Beat by Dre. Nimekubali hili beat Ankali
 12. kobilo

  Rais Magufuli afungua barabara ya Nyerere nchini Namibia,. Wanamibia wadai huyu ni Nyerere mwingine

  Yaani mtu unachoma kabisa mafuta ya ndege eti kwenda kuzindua barabara/mtaa nje ya nchi? Jamaa hawezi kuwa serious kabisa yaani
Top Bottom