IFM: Mwalimu Elli Doriye anakera, anaharibu chuo

IFM: Mwalimu Elli Doriye anakera, anaharibu chuo

Unajidai kwa sababu sikukurekodi unapo niomba hiyo rushwa au vipi? You are martied and yet una michepuko chungu mzima kwa wanafunzi hapo chuoni. Anyways, ngoja nikae kimya, namshukuru Mungu sikwenda kwenye guest uliyo niagiza niende ukanitafune na nikachomoa supp.
Akina dada mna unyonge wa kijinga sana. Haya majamaa ni mashamba mashamba flani ivi, wakikutana na akina Diva wa Saluni ndio wanakomaga. Nadhani inabidi muanze kutazama upya mnavyohendo mitongozano, mnachoita rushwa ya ngono na vinginevyo.
 
Hivi mnavyosema anawafelisha kilazima MNAMAANISHA NN?....
Huwa anakata majibu sahihi kwenye Test /UE?...vyuo vina utaratibu wa kukata rufaa...Kwann msikate rufaa...?.....
Hata prospectus hawasomagi watajuaje rufaa?
 
Naombeni mjue mnajiaibisha wenyew aya mambobsi ya kuanika kipuuzi namna hii ni bora mkajieshimu kabla amjaheshimiwa
 
Hee kwaiyo walimu na wanafunzi mnatudhibitishia ukweli wa ushetani unaoendelea vyuoni
 
IFM hamna shule pale, acha huyo mwalim wenu awanyooshe
 
Cc wengne Ifm second year ilitushinda,tukakubali kushindwa aisee[emoji23][emoji23]xaxa hv nakula maisha UDSM
 
Wanafunzi wa.siku hizi hawapendi kusoma kwakuwa kila mtu.anataka kuwa diamond
 
Wasalaam wakuu.

Mwalimu tajwa hapo amekuwa ni kero kubwa hapa chuoni. Amekuwa na tabia ya kufelisha wanafunzi kwa makusudi.

Kwa mfano, sisi ametufundisha Financial Markets mwaka huu, na kwa utaratibu wa chuo inabidi ujue coursework yako kabla ya kuingia kwenye UE.

La ajabu ni kuwa hakutoa matokeo, na chuo kimefunga ana upload marks darasa zima below 40 percent.

Hii haipo sawa na tunaomba uongozi wa chuo ufuatilie hili.
Wasalaam.
Sasa kama mmefeli mnataka awape maksi za bure?
 
Ukiwa nje IFM unaweza hukumu sana wanafunzi wa pale kwamba ni mabishoo,masistadu lakini ukweli haupo hivyo nimesoma hapo intake ya kwanza degree 2008/09
mwaka wa 2 ilikuwa balaa sitasahau course kama OOP,Networking,system analysis & design,walimu Koloseni,Otaigo,mohamed aka muarabu wa networking.Komaeni changamoto ni nyingi mungu atawasaidia
 
Wanafunzi wote wana kitu kimoja; kutaka kupasi mtihani bila kusoma au kupewa maksi za bure.

Mwanafunzi hana budi kusoma kwa bidii hakuna njia za mkato na hata kama zipo zina madhara yake.
 
kama yasemwayo ni kweli basi lecturer huyu anafaa kufyekelewa mbali
 
Ndo yule.mjinga anajiita Dr doriye huyu namtukana mpumbavu kabisa aliniambia hivi kipindi nimekosa ada " umasikini wa familia yenu hauniusu Mimi"

Yaan sentence sitaisahau
Duuu. Mungu ndio anayetoa kila kitu
 
Beyond reasonable doubt!!. System failures can not being rectified by informality use proper channel . Meanwhile just get done with ur supplementary exam God be with u all
 
Nilidhani una hoja kumbe PUMBA!!! Mwl afelishe darasa zima ili iweje? Tena ninyi wa awamu ya JK hata chuo kikiwaondoa wote sioni shida akili hamna vichwani, Library hamuenda ila kufaulu mnataka.
Ww unadhani tafti ya 61% Vil,aza imekujaje Tz kama siyo akina ww?
Kutongoza mademu, kupiga selfie na kuchat ndio Syllabus alizo wapa Shukuru Kawambwa!!
aisee ndugu mbona unakosa hekima.kama kweli wewe ni wa awamu hizo zilizopita za wenye akili.sasa hapo ulikua unashauri au unatusi
 
Back
Top Bottom