Rais Magufuli aagiza Askari, Beatrice Mlanzi kupandishwa cheo kwa kuonesha utimilifu katika kazi

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,438
3,333
Rais Magufuli ametembelea Kituo cha Polisi cha Selander Bridge na kuzungumza na Askari wa Kituo hicho ambapo ameagiza WP 4160 Beatrice Kayuni Mlanzi kupandishwa cheo kutoka Koplo na kuwa Sajenti baada ya kuonesha utimilifu katika kazi.

8ED96D0F-C839-4BD4-82BD-CD24449DB603.jpeg


Rais Magufuli ametembelea Kituo hicho akiwa njiani kuelekea Ikulu akitokea hospitali ya Taifa Muhimbili alipoenda kumjulia hali Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Yuda Thaddaus Ruwa’ichi

2E7DBB49-7CF2-4EF0-A867-674CFBB103C3.jpeg


5758D1FE-BF84-46E0-B17E-E885E93929D3.jpeg
 
Utimilifu katika kazi si ni wajibu wa mfanyakazi? Au mimi ndo sijaelewa. Haya madam Bite kula maisha bana
 
Utimilifu katika kazi si ni wajibu wa mfanyakazi? Au mimi ndo sijaelewa. Haya madam Bite kula maisha bana
".......Koplo na kuwa Sajenti".
"....... Kula maisha bana".

Mbona kidogo sna hicho.
 
Sasa kafanya nini mbona mtoa mada huweki wazi alichofanya au na wewe ni mbea tu!!!?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom