Yaliyojiri Mahakama Kuu: Mahakama yatupilia mbali mapingamizi ya Serikali dhidi ya Lissu, Shauri la msingi kuendelea kusikilizwa...

-Kaka Yake Tundu Lissu, Wakili Allute Mughwai Aliyepewa Mamlaka Na Mdogo Wake Tundu Lissu Ya Kufungua Kesi Akijadiliana Jambo Na Wakili Peter Kibatala Anayeongoza Jopo La Mawakili Wa Kumtetea Lissu.
IMG_20190826_164116.jpg
 
Ni mtihani mkubwa sana kwa mahakama kama chombo cha kutoa haki. Haki ionekane kutendeka, yaani MTU achaguliwe na maelfu ya watu halafu atwangwe risasi kisha afukuzwe ubunge.

Mitihani kirahisi sana; katika hali ya kawaida wala nisingekuwa na kesi hapa. Hii ni kesi inayokona na hofu iliyopitiliza.
 
That is the truth bila kupindisha na ukweli ni lazima uwekwe hadharani kwa manufaa ya nchi yetu. Anaua Watanzania wasio na hatia, kuwabambikizia kesi, kudharau katiba, bunge na mahakama. Mficha ugonjwa kifo kitamuumbua.
It seems you realy hate Magufuli anyway ndo rais wetu tutafanyeje sasa!
 
'Sasa Kama Peter Kibatala Na Vijana Wake Wawili Anawagaragaza Vibaya Mawakili 16 Wa Serikali Wakiongozwa Na Wakili Mkuu Wa Serikali, Hivi Hizo Kesi Huko Nje Ya Nchi Kama Mawakili Wenyewe Tunaowategemea Ndio Hawa Tutashinda Kweli?
halafu hizo kesi za huko nje bora ziendeshwe kwa kiswahili labda wanaweza wakachukua hata siku 2.
ikiwa kwa kiingreza tutapiwa nje ndani saa 3 asubuhi siku ya kwanza!!
 
Wewe ndio natakiwa nihoji kwanini baba ako akupiga puny****to kuzuia kiumbe chenye akili za kipumbavu kama wewe usitokee duniani. Nimehoji logically, Hivi risasi unazijua au unazisikia tu?Kwa akili yako ya kinyumbu ni kwamba Lisu anatakiwa aingie kwenye Guinness book of records kwa kuwa binadamu wa kwanza kupigwa risasi nyingi na akabaki hai. Najua unaakili za kunywea kahawa,lkn naomba utoke nje ya box uone UHALISIA.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full of confidence
Wewe ni mjinga sana kiongozi hafu kingine sina chama chochote

Unaleta quotes za kitoto toto hapa

Stupid , rubbish and empty mindset
 
Shangazi samahani sana,japokuwa mimi nimekuwa upande wa lisuu kwa dhulma na madhambu aliyofanyiwa, kumiminiwa risasi, lakini kwenye kesi hii LISSU hana hata chembe ya haki, anekosea tena kwa kebehi na madharau makubwa sana, anastahili kuvuliwa u ubuge.

Tusipende mtu, tupende haki, mwenye akili timamu anajua LISSU kakosea kabisa na uongozi wotewa chadema wamemkosea LiSsu kwa kutomshauri lihalali.
Mgaragazo uliotulia tayari. Sasa mkanywe sumu Lumumba.
 
'Yaani Mawakili 16 wa Serikali ambao Mwanasheria Mkuu anawaona MAJEMBE, wakakaa chini na kuandaa Mapingamizi ili kuishawishi Mahakama itupilie mbali kesi ya Ubunge wa Tundu Lissu halafu Jaji Matupa kayatupilia mbaleee mapingamizi yote!

Hopeless kabisa 😂😂😂
 
Back
Top Bottom