Wadau wenzangu usiku wajana nusu nikimbie hotel .kisa chenyewe kilianza hivi,baada ya siku nyingi kukaa baharini
jana meli yetu ikafanikiwa kutia nanga kwenye bandari ya Dar,kama kawaida mimi na wenzangu tuliamua kwenda
kupata raha Q-bar maana siku nyingi zilipita bila kukamua,ilikua mida ya...