tinna cute
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 4,630
- 2,310
Rest in peace chiba.
Amefariki Lini? Kwa Ugonjwa Gani? Mwenye Taarifa Kamili Atujuze Hapa.
Ukisikiliza nyimbo za flora mbasha je unakumbuka nini? Ni mtizamo tu.
Eee bana eee yaani huo wimbo wa Ebenezer ni anthem ya familia yangu.Dah!! Sikujua kama kesha fariki!!!!!
pamoja na kutokuamini hayo majarida ya kimapokeo(Bible and Qur'an) wimbo wa EBENEZER wa huyo mama nausikilizaga Sana.R.I.P
Namkumbuka Gwajima a.k.a mzee wa Hammer!
Kuwa na heshima ndugu yangu even though you don't like or appreciate what other people believe in, but respect them and stay away from their businesses, I don't believe in what you believe and you don't believe in what I believe so respect me as I respect you
Dah!! Sikujua kama kesha fariki!!!!!
pamoja na kutokuamini hayo majarida ya kimapokeo(Bible and Qur'an) wimbo wa EBENEZER wa huyo mama nausikilizaga Sana.R.I.P
Ajari ilitokea IRINGA na siyo kenya mkuuAlifariki mwaka 2007 nchini Kenya ktk eneo liitwalo Naivasha, walipokua wanaenda kwenye huduma ya maombezi ndipo gari yao iligongana uso kwa uso na lori.Alikua ndo anajianda kuja Tanzania kuzindua album yake ya Nimekutana Yesu,pia kabla ya ajali yaani cku ya nyuma yake,alifanya crusade moja kwenye chuo kikuu nchini Kenya,zaidi ya watu 20 elfu waliokoka,Mungu alimpenda na akamchukua,ulikua ni msiba mkubwa hasa kwa wapenzi wa gospel.hadi Kibaki nae pia alishiriki ktk msiba huo.alipelekwa kuzikwa kwao Congo ktk sehemu iitwayo Bukavu ambapo ndipo alipozaliwa,ameacha watoto 3.Mungu aendelee kumrehemu huko alipo.yaani nimemfuatilia sana huyu dada mpaka biograph yake,naona kuroho kama yupo 7bu nyimbo zake kwangu naziona ni mpya zote.
ukisikiliza nyimbo za flora mbasha je unakumbuka nini? Ni mtizamo tu.
Amefariki Lini? Kwa Ugonjwa Gani? Mwenye Taarifa Kamili Atujuze Hapa.
Wakuu ingawa Mungu kampenda zaidi na kumchukua mwimbaji huyu, mimi ananibariki sana kwa nyimbo zake, pia na shuhuda zake katika maisha yake aliyopitia. Naombeni msaada kwa anayefahamu nyimbo zake za kiingereza sababu alikuwa akienda mpaka Nigeria kwa huduma ya uimbaji.
Ajari ilitokea IRINGA na siyo kenya mkuu