kyannala nabiso
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 645
- 143
we endelea kumsubiri ukibaka uje kuomba ushauri jinsi ya kutoroka. na ukipiga punyeto hicho kidude kitaregea hata kikisimama hakitakuwa nanguvu.
Kuna faida ya kufanya sex kwa kiasi, ingawaje kufanya sex sana nako kuna madhara yake. Inashauriwa kwamba ni vizuri kufanya sex mara tatu kwa wiki, vinginevyo kufanya sex sana kuna madhara yake, ikiwemo, kwa mujibu wa tafiti mbali mbali, kupunguza kinga mwilini.Habarini za kuamka wana JF,mateso ambyo nimeyapata ucku wa leo imenilazmu nilete uzi hapa kwa mawazo yenu,m ni kijana wa miaka......., nina promise na mdada ambaye yupo mbali kishule,mim huku nna hamu sana ya kugegeda lakn cna mchumba,inanilizmu nimsubr yeye,sasa naona mateso kwan bamia yangu huwa inasimama sana nyakat za ucku mpaka inatoa ute,je kuna madhara ya kukaa muda mrefu bila kupunguza haya mate?
Ni juu yako kuchagua mbivu na mbichi. Kumbuka haya ni maisha yako, unatakiwa kuyapima yote unayoshauriwa na kutoa uamuzi kwa kadri unavyoona inafaa..mmh,wengne wananiweka njia panda mbna?
Hapo umenena Mkuu ila kwenye Punyeto - Mmh !!
Wataalam wa Biology wanasema kiungo cha mwili kisipotumika muda mrefu hudhoofika au hutoweka kabisa, sijui kuna ukweli..!!??
Wewe KALAGABAHO!Habarini za kuamka wana JF,mateso ambyo nimeyapata ucku wa leo imenilazmu nilete uzi hapa kwa mawazo yenu,m ni kijana wa miaka......., nina promise na mdada ambaye yupo mbali kishule,mim huku nna hamu sana ya kugegeda lakn cna mchumba,inanilizmu nimsubr yeye,sasa naona mateso kwan bamia yangu huwa inasimama sana nyakat za ucku mpaka inatoa ute,je kuna madhara ya kukaa muda mrefu bila kupunguza haya mate?
Habarini za kuamka wana JF,mateso ambyo nimeyapata ucku wa leo imenilazmu nilete uzi hapa kwa mawazo yenu,m ni kijana wa miaka......., nina promise na mdada ambaye yupo mbali kishule,mim huku nna hamu sana ya kugegeda lakn cna mchumba,inanilizmu nimsubr yeye,sasa naona mateso kwan bamia yangu huwa inasimama sana nyakat za ucku mpaka inatoa ute,je kuna madhara ya kukaa muda mrefu bila kupunguza haya mate?
Madhara yaliyopo ni ya kisaikologia kutokana na mawazo! Inakubidi ujisahaulishe na hiyo kitu, uwe busy na kazi, ujishughulishe na mambo ya michezo, pia ufanye ibada kwa wingi! usinywe pombe, punguza vyakula vya mafuta, na epuka kukaa katika vijiwe vya wahuni.Habarini za kuamka wana JF,mateso ambyo nimeyapata ucku wa leo imenilazmu nilete uzi hapa kwa mawazo yenu,m ni kijana wa miaka......., nina promise na mdada ambaye yupo mbali kishule,mim huku nna hamu sana ya kugegeda lakn cna mchumba,inanilizmu nimsubr yeye,sasa naona mateso kwan bamia yangu huwa inasimama sana nyakat za ucku mpaka inatoa ute,je kuna madhara ya kukaa muda mrefu bila kupunguza haya mate?
Muda mrefu katika hili ni siku ngapi? Mwaka? Au karne?
hauko CHAPUTA!!?
Punyeto siyo salama. Kuna athari nyingi za punyeto ikiwemo ya kuwa ------- endapo utaiendekeza kwa muda mrefu. Kumbuka kuwa naturally, mwili una control upunguzaji wa manii kwa njia ya ndoto. Fanya jaribio moja dogo tu la kuto ku sex kwa muda, say wiki tatu hivi, lazima utaota ndoto itakayopelekea ku-ejaculate, na hii ndiyo njia ya asili ya kupunguza tatizo hilo. Utaelezwa madhara zaidi ya punyeto ukihitaji.Asante lumaraG. Naona kwenye punyeto unaelekea kukubaliana na nosspass ambaye naye ameonekana kutokubaliana nami. Naomba nifafanue kidogo kwanini naidhinisha punyeto kama namna sahihi ya kupunguza hamu ya uchi wa mwanamke. Nina hakika mtakubaliana nami kwamba ukiwa na afya njema manii yanajizalisha haraka sana kule chini kiasi cha kuhitaji kutoka japo mara moja kwa siku. Na kadri unavyokula vizuri ndiyo hitaji la kudischarge linavyokuwa kubwa. Kwa upande wangu wakati mwingine hata nikishinda na njaa bado discharge lazima. Sasa unafanyaje hapo kama mazingira hayaruhusu?
wewe kufa na maugwadu yako hapo, mwenzako huko anagegedwa na machalii..
aisee kijana unahatari kweli,angalia madhara yapo.moja ya madhara ni kuhamahabarini za kuamka wana jf,mateso ambyo nimeyapata ucku wa leo imenilazmu nilete uzi hapa kwa mawazo yenu,m ni kijana wa miaka......., nina promise na mdada ambaye yupo mbali kishule,mim huku nna hamu sana ya kugegeda lakn cna mchumba,inanilizmu nimsubr yeye,sasa naona mateso kwan bamia yangu huwa inasimama sana nyakat za ucku mpaka inatoa ute,je kuna madhara ya kukaa muda mrefu bila kupunguza haya mate?