Recent content by Kiwera

  1. K

    Naomba kufaham kuhusu GPSA

    14/15/16 ndo nn?.Nadhani wana-award framework contract kila baada ya miaka 3 with effect from April 2014.I stand to be corrected
  2. K

    Naomba kufaham kuhusu GPSA

    314/15/16 ndo nn?.Nadhani wana-award framework contract kila baada ya miaka 3 with effect from April 2014.I stand to be corrected
  3. K

    Ukitaka kuagiza gari tumia bandari ya Mombasa - Dar, TRA ni Wasumbufu...!

    Hata mm niliagiza kutoka sbt around july na nilitumia siku nne na nilikuwa na exemption.Tuwe waungwana wakati mwingine.Mpe wakala nyaraka zote kwa waksti halafu urudi hap
  4. K

    Wenye visimbuzi (ving'amuzi) vya Startimes.. mnapata signals..

    Long live jf na ahsante mangulumbwisi kweli nimeelekeza antena yangu makongo juu na nmepata signal
  5. K

    24 and prison break complte series

    Hi guru's any one with this movies complete series.Kindly share with me.
  6. K

    Mrema: Mimi ndiye niliyemaliza ile vita hapa Arumeru

    Ila bora huyu anayo historia ya kujivunia na wameru kuliko yule anayewaita wapinzani wajinga.
  7. K

    TIGO-PESA Wameniibia manunuzi yaLUKU

    Mimi mwenyewe wameniibia laki moja kwa mtindo huu within 7 days.Nimekwenda ofice zao nachoambulia ni majibu yasiyoridhisha.
  8. K

    Simulizi Ya Kahaba

    T really touches.By the way ingekuwa ni sasa lazima ambiance ingekuwa kwny list.
  9. K

    Hatimae Mwezi umeandama

    Mapumziko mema wana-jamvi.
  10. K

    Ngao ya Hisani live: SIMBA vs YANGA

    Kweli mechi ya wababe.SUNZU KAUA
  11. K

    Maalim seif kuachia ngazi?

    Mbavu sina.Saint Ivuga;2283750]angetakiwa awe ashaachia ngazi zamani sana...ila si una ona cku hizi anaanyoa hadi ndevu
  12. K

    mwisho wa Ubaguzi wa KIhindi kuwa Hivi..

    Anayewasifia wahindi hawajui vizuri.wanakuja in the name of 'experts' na mishahara minono wakati hata switch ya kuwashia mtambo hajui ilipo.Wao ndo wabaguzi wakuu.japo wanaibiana sana pia.
  13. K

    Mama huyu ufukweni Ocean Road ana kazi gani?

    ''mama huyu kwa maelezo yake hupenda (kumradhi)dogo dogo, beach boys ndo baba wa watoto....na ana lugha tatanishi wakati wa usiku....she offers herself to that if you need....! ....."WE RAFIKI YAKE MICHAEL(that baby boy ambaye mimi humuita erick)USIKU WOTE HUU UNATOKA WAPI, AU UNATAFUTA MTU WA...
  14. K

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Ahsanteni waungwana kwa msaada huu.JF is more than forum kwakweli.
  15. K

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Waungwana naombeni mnijuze madhara ya punyeto na namna ya kuachana na tabia hii.
Back
Top Bottom