Hatimae Mwezi umeandama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatimae Mwezi umeandama

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Elli, Aug 30, 2011.

 1. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,832
  Likes Received: 10,151
  Trophy Points: 280
  Salaam Alyeikum mabibi na mabwana

  Hatimae mwezi umeandama na kesho itakua siku kuu ya Idd el Fitr kumbuka kutoa sadaka na kutenda yaliyo mema. Mungu awajaalie muwe na afya njema na atukinge na majanga yote, ajali za moto, barabarani na kwenye bahari na disko zisiwepo ili tukutane tena Ijumaa tuendelee na ujenzi wa taifa hili. Rafiki yako katika Kristo. Elli
   
 2. N

  Ndoano Senior Member

  #2
  Aug 30, 2011
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 187
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  <br />
  <br />
  nijulishe huo mwezi umeonekana wapi ?mkuu
   
 3. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #3
  Aug 30, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 4. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Allah bado anategemea mwezi!!!!!!!!
   
 5. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #5
  Aug 30, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,832
  Likes Received: 10,151
  Trophy Points: 280
  hapana usiseme hivyo unakosea, lazima uonyeshe tofauti mkuu wangu
   
 6. K

  Kiwera Member

  #6
  Aug 30, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mapumziko mema wana-jamvi.
   
 7. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #7
  Aug 30, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Mwezi umeandama ndiyo. Lakini ole wenu ambao badala ya kufungua kula mchana "mnafungulia" kila kitu, wengine mnafungulia zip. wengine mnafungulie ulevi nk. Thawabu zote mlizovuna mwezi wote mtukufu zitakuwa zimepote zote. OLE WENU MFUNGULIE ..........
   
 8. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #8
  Aug 30, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,832
  Likes Received: 10,151
  Trophy Points: 280
  Ni kweli Mpwa, japo umeni-quote sidhani kama haya maneno umeyaelekeza kwangu tu....haya mi sikufunga bhana hebu some hio thread vizuri pale mwisho nimemaliziaje.....
   
 9. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #9
  Aug 30, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,832
  Likes Received: 10,151
  Trophy Points: 280
 10. m

  mbweta JF-Expert Member

  #10
  Aug 30, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 600
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Idd njema! Ila kama usinge andama hata siku tatu mbele mngeendelea kufunga ama mngehesabu siku 30 tu?
   
 11. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #11
  Aug 30, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  hiviii siku mwezi ukigoma kutokea mtafanya nini???kwa nini msiwe na tarehe maalum kama dini zzingine?
   
 12. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #12
  Aug 30, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Eid Mubarak wana jamvi wote!
   
 13. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #13
  Aug 30, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Stupid boy!
   
 14. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #14
  Aug 30, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Kama ulisoma physics sekondari siku mwezi ukigoma kutokea duniani sijui tutafanya nini, sio waislamu peke yao lakini sote kwa ujumla wetu.
   
Loading...