Recent content by Kiwembe

  1. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kadi ya CHADEMA

    Jamani wanajamii wenzangu mi nipo udom kama kuna mtu wa udom humu ndani na anajua mahali kadi zinapatikana anielekeze jamani
  2. K

    JamiiForums Tanzania Jamani mbona clouds siwaelewi?

    Wana jf hv hawa clouds ni radio ya ccm mbona vp vyao havipo balance au ndo tuseme ni radio ya propaganda naomba mnitoe utata jamani
  3. K

    JamiiForums Tanzania Jamani wana jamvi wenzamgu lipumba yupo?

    Mi nawashangaa viongozi wengine wa chama eti now wamejifungia na wake zao vyumbani uchaguzi ukifika eti nagombea urahi hii ni fair?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Meya wa Arusha apata aibu kanisani

    Kazi anayo na uchaguzi ujao hapati kitu lazima aanguke 2 hakuna jinsi
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kikwete mbona haendi mikoani?

    Jamani ndugu zangu wana jamvi mbona rais wetu haendi mikoani husani mikoa ya kaskazini na mikoa ya kanda ya ziwa. Yeye anakwenda dodoma tu
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kutumia marehemu kisiasa ni zaidi ya kufilisika kisiasa

    Inaonyesha jinsi gani ulivyo mvivu wa kufikili na ulivyo na mawazo finyu kwani nyie cmliwaua na kusema ni majambazi
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tendwa:Tumechoka sasa una mamlaka kemea waongo hawa dhidi ya Chadema

    Kama kawaida yao mbona wao hawana habari zenye kuleta sense kwa mainterellectual
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tendwa:Tumechoka sasa una mamlaka kemea waongo hawa dhidi ya Chadema

    Hawana jipya ndo maana 2nasema kama chadema ni chama cha wachaga bac ccm ni chama cha waislam
  9. K

    JamiiForums Tanzania Diwani mpambe wa Meya Arusha akutana na wakati mgumu

    Anatisha ndo solution au mnaonaje wana jamvi hili jamani
  10. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ina mpango wa kumtelekeza John Shibuda?

    Acha hizo kwani hujui chama kipo kwenye operashion ya kujenga chama now ji2me kufikiri ww
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kiwembe

    I wana say 2 all ma people
Back
Top Bottom