yaani kadi ya chama kikubwa kama chadema inatafutwa kwa manati namna hii?kwli hii inapaswa kuwa changamoto kwa wanachadema kwamba hawajulikani walipo,kwa maana ya ofisi,maana kama wangekuwa wanajulikana walipo mtu asingehangaika kutafuta kadi.
kwahiyo chadema wasikae tu kupanga operesheni sangara,wakae wakfikiria na kupanga pia baada ya operesheni mwitikio watakaoupata wanauridhisha vipi kwamba kweli wamejiandaa kushika hatamu wananchi wakiwakabidhi.
chadema fungueni matawi na yatangazwe wananchi wajue wapi pa kuwapata,kwa mfano mimi ni mkazi wa arusha lakini hadi leo sijawahi kuiona ofisi ya chadma mkoa arusha,kama ipo maelekezo tafadhali