Jamani mbona clouds siwaelewi?

Jamani mbona clouds siwaelewi?

Kiwembe

Member
Joined
May 23, 2011
Posts
11
Reaction score
0
Wana jf hv hawa clouds ni radio ya ccm mbona vp vyao havipo balance au ndo tuseme ni radio ya propaganda naomba mnitoe utata jamani
 
Hivi hamna redio zingine za kusikiliza mpaka hiyo cloud.
 
Niyawahuni ile mtu bila aibu anatukana na kukashifu wazee. Serikali isipoangalia yatajatokea yale ya rwanda kipindi kinaendeshwa kwakuongea utumbo mtupu sio radio yakusikiliza kabisa jihadharini chukueni hatua
 
Back
Top Bottom