NO REFORM NO ELECTION
1. Kiswahili – Hakuna mageuzi, hakuna uchaguzi
2. Kiingereza – No reform, no election
3. Kifaransa – Pas de réforme, pas d’élection
4. Kihispania – Sin reforma, no hay elecciones
5. Kiarabu – لا إصلاح، لا انتخابات
6. Kirusi – Нет реформ — нет выборов
7. Kichina...
"Mimi kama Mbunge wa Nyatike, tunapakana na Tanzania na Uganda. Nyatike ipo kwa kona ya Kenya kabisa, mahali ukivuka unaingia Tanzania na ukienda kidogo unaingia Uganda. Kitu ambacho hawa watu wetu walikuwa hawajaelewa vizuri, hii mambo ya freedom of speech kwa East Afrika nzima, ipo Kenya peke...
Nilitegemea kujiandikisha 1. Online (kwa mtandao) na 2. Kwenda kwenye vituo vya kujiandikisha.
Sasa hadi wakati huu wa kupiga kura bado mtu analazimika kwenda mahali alipojiandikisha?!
Kutekelezwa kwa Na. 1, maana yake yote yangefanyika popote mtu alipo bila tatizo lolote; kwa hali ilivyo...
Kama kweli Serikali inanunua magari mpya (brand new); kuna ulazima wa kutumia kiasi chote hicho kununua magari kila mwaka; wakati gari jipya lina warranty ya miaka mitano.
"Kwenye suala la Bunge, Bunge letu ni kubwa ukilinganisha na wafadhili wetu (Marekani inatufadhili, India inatufadhili nk), sisi Tanzania tuna watu milioni 60+, Marekani ina watu milioni 350+ lakini Bunge lake lina watu 535 Kwa maana ya kwamba Mbunge mmoja wa Marekani anawakilisha watu karibu...
Utangulizi
Tanzania tuitakayo ni ile ambayo imejenga sekta za kisasa za maendeleo na sekta mojawapo kuu ikiwa ni viwanda; ambayo itachangia hali ya maisha ya watu wake kuwa bora kwa kuongeza pato la mmoja mmoja ambapo kwa ujumla wake pato la Taifa linakua pia. Kukua kwa uchumi wa mmoja mmoja...
Nashukuru kwa mchango wako mzuri; shida ninayoiona tukitaka kutekeleza hilo ni jinsi ya kuwabadilisha watu mawazo (mindset) ndiyo kikwazo cha kwanza hicho.
Habari njema!
Hospitali nchini China hutibu saratani kwa kugandisha uvimbe na kisha kuuondoa bila kutumia chemotherapy:
Hospitali maalumu kwa ajili ya kutibu aina zote za uvimbe hasa saratani. Hospitali nchini China inaitwa (Fuda) katika mji wa Guangzhou (Guangzhou), kusini mwa China.
Qatar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.