Wataalamu wa Afya hii imekaaje

KiuyaJibu

JF-Expert Member
Aug 29, 2007
841
175
Habari njema!

Hospitali nchini China hutibu saratani kwa kugandisha uvimbe na kisha kuuondoa bila kutumia chemotherapy:

Hospitali maalumu kwa ajili ya kutibu aina zote za uvimbe hasa saratani. Hospitali nchini China inaitwa (Fuda) katika mji wa Guangzhou (Guangzhou), kusini mwa China.
Qatar Airways na Emirates huandaa takribani safari za ndege kila siku kwenda Guangzhou. Wamefanya oparesheni zaidi ya 5,000, na Allah alijaalia zote kufanikiwa, kwa kuugandisha uvimbe huo na kuutoa bila kutumia kemikali (chemotherapy), pamoja na matibabu ya aina nyingine yametajwa yote kwenye website ya hospitali:

www.fudahospital.com

Website inapatikana katika lugha kadhaa, ikiwa ni pamoja na Kiarabu.


Simu ya hospitali nchini China kujibu kwa Kiarabu:
0086-20-38993919

Waambie na wengine , labda Allah atajaalia kuwa sababu ya kupona na kuokoa maisha ya mgonjwa.
 
Back
Top Bottom