I was doing the same,especial kwa wale wanaume ving'ang'anizi, anakusumbua mpaka unakarahika,anakuja na mbwembwe za kwamba yeye ni mtoto wa rostam aziz,sasa unafikiri matokeo yake ni nini? lazima uchunwe mpaka utie akili,mpaka ukija amka kutoka usingizini na kujua hapa sitakiwi nakuwa nimemaliza...