Napenda kufahamu

Mimi katika safiri safiri yangu katika mikoa mingi ya nchi yetu niliipenda sana Mbeya ikifuatiwa na Iringa kutokana na hali ya hewa na pia bei za Vyakula ambazo wakati huo zilikuwa poa sana ukilinganisha na Dar. Njombe hata mimi nilikupenda sana.
 
Karibu tule kande be!:becky:
 
Hahahahahaha...Samahani kale kambwa kalikuwa kadogo be!
 
Mwanza (napenda sana samaki) pia ni ukweni, even Moshi/Arusha nilikozaliwa na kukulia napapenda pia
 
tanga-lushoto kama ulaya vile, green na kipupwe,waterfalls,milima na mabonde,ni pazuri kwa kweli
 
naipenda sana Lushoto ila ile road yake ndo naigopa.

ile barabara ni kiboko,first time naelekea kule nililia mpaka tunafika lushoto mjini, ilibaki kidogo nisirudi kwa ajili ya ile barabara, ningekuwa mwanakijiji na mzoefu ningetembea kwa miguu mpaka mombo kama wenyeji wanavyofanya,but i fall in love na ile place kwa kweli
 
Njooni Moshi bana ndo mtajua kulivyo. Mji msafiii ile mbaya, Ukitema mate hadharani faini 50,000/=, Ukinunua voucher ukimaliza kurecharge simu yako logwa utupe tule tukaratasi! Faini 50,000/=. Unaitwa mji wa wagumu.
 
Back
Top Bottom