Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,216
- 3,126
Yakhe naona wamzimia kiana lil miss Obama eeeh? Lol....
She is just a kid period, i aint a perv either..lol
Yakhe naona wamzimia kiana lil miss Obama eeeh? Lol....
BitiMkongwe umenena vyema kabisa..RIP dady
Na sisi baba zetu walikuwa wanatupenda sana kwa kutupatia mahitaji yote muhimu kwa mujibu wa uwezo wao.
Ila wao hawakuwa na vyombo vya habari vya kuwatangazia.
Mungu awalaze pema peponi kwa wale waliokwisha tangulia.
Man Loving a daughter properly means a lot to her total future, especialy in her life long Man woman relation! Baba akiharibu tu! Hata ndoa na mahusiano yonayofuata ... Hayatakaa vizuri!
Wapinzani wataendelea kupiga kelele, but the guy is enjoying the moment!.Naona Obama hawapi nafasi kabisa wapinzani..Sijui next watasemaje!
kweli aisee...
so very true!man loving a daughter properly means a lot to her total future, especialy in her life long man woman relation! Baba akiharibu tu! Hata ndoa na mahusiano yonayofuata ... Hayatakaa vizuri!