Recent content by Kiumbo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Bunge laahirishwa, Kamati ya Maliasili yawaka moto!

    Nimefurai saaana na huu umoja wa wabunge wote baada ya nusu saa turejee bungeni lazima kuna kigogo ataishia na hii kamati haponi mtu kabisa. Kinana tumbo joto
  2. K

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika NDUGAI Amtetea James Lembeli kwa kusoma ripoti ambayo haipo kwa Wabunge

    Bunge limeairishwa kutokana na taarifa ya james lembeli
  3. K

    JamiiForums Tanzania MWENYEKITI WA KAMATI: Baadhi ya WATUMISHI WA SERIKALI Wanahusika na UJANGILI

    Lembeli na hii taarifa itaondoka na vigogo lazima nia mateso makubwa yamefanyika ktk ile operesheni tokomeza ujangili jamani km hatupo tanzania hawa maccm ni manyama nn
  4. K

    JamiiForums Tanzania Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

    Watatoka fiona na nyambura ndio wana kura chache mpka sasa
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa huko serikalini jamani mshahara wa mwezi nov kimya!

    Serikali inaedneshwa kwa mikopo kwa asilimia kubwa sasa ukikopa saana unachokwa....... Lazima kuna shida mahali
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa huko serikalini jamani mshahara wa mwezi nov kimya!

    Huku kibaha bado tumezoea tarehe 25 au 26 mwisho . Hili ni km tatizo la sehemu kubwa ya nchi kunani.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Shibuda: Hakuna cha CCM wala CHADEMA, wote wanaminya demokrasia ndani ya vyama vyao

    Mwali akipevuka tutajua nani mshenga kuelekea kugombea uraisi 2015
  8. K

    JamiiForums Tanzania Shibuda: Hakuna cha CCM wala CHADEMA, wote wanaminya demokrasia ndani ya vyama vyao

    Anasema hakuna demokrasia katika vyama vya siasa na ndio mfumo wa IMLA duniani
  9. K

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Tanzania Daima laadimika mitaani

    Lilikuwa na habari ya kubaka kwa kapuya front page
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mulugo: Division Five haipo na sifuri ipo palepale

    Jamani hadi bungeni
  11. K

    JamiiForums Tanzania Napinga uteuzi wa Prof. Sifuni Mchome kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu

    Ni kweli voda fasta teeena
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ufoo Saro wa ITV ajeruhiwa kwa risasi, mamake auawa!

    Jamani heeeee mahusiano mapenzi na mauaji kwa maisha ya sasa loooooo
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ufoo Saro wa ITV ajeruhiwa kwa risasi, mamake auawa!

    Maskini pole yake. Tujulisheni ilikuwaje
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mashamba yanauzwa Msowelo Kilosa

    Msowelo ni huko kuelekea shule ya msolwa sekondari unaweza pitia mikumi mjini?
  15. K

    JamiiForums Tanzania King'amzi kipi kizuri kwa hapa Tanzania

    Easy tv ni poa saan kina channel zote za bongo na za nje kibao na ni elfu kumi kwa mwezi channel zote unaona. Ila easy tv mwisho wao ni kibamba
Back
Top Bottom