Mashamba yanauzwa Msowelo Kilosa

Mashamba yanauzwa Msowelo Kilosa

Hapo karibu na maji naweza pata hata eka 4 au 5 mkuu??

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
hello ndugu. mashamba jirani na maji bado yanapatikana?
 
hello ndugu. mashamba jirani na maji bado yanapatikana?

Zinaweza patikana heka 7 mkuu,mashamba ya karibu na mto demand yake ni kubwa kulinganisha na ya kawaida
 
Msowelo ni huko kuelekea shule ya msolwa sekondari unaweza pitia mikumi mjini?
 
Msowelo ni huko kuelekea shule ya msolwa sekondari unaweza pitia mikumi mjini?

Ndio ndugu,unaweza fika kwa kupitia Mikumi au kupitia Dumila kama unatokea Morogoro mjini
 
Back
Top Bottom