Mulugo: Division Five haipo na sifuri ipo palepale

Mulugo: Division Five haipo na sifuri ipo palepale

Kutumia div 5 badala ya div 0 ni sawa na mavi kuyaita kinyesi au haja kubwa, hakuna tofauti yeyote zaidi ya kupunguza ukali wa maneno tu.
 
kp15032012.jpg
 
haya mambo viongozi wetu wanayofanya yanatia hasira sanaaaaa and sometimes you just feel like the only thing that you want to do is smash the t.v screen kwa upuuzi wanaoongea..wanatuonaje wananchi..???..wanaona wanaeza wakatutumia na kutudanganya wanavyotaka, wanatuona hatuna akili au wameshasahau nani amewaeka hapo walipo..shitttttttt
 
Hii ina maana viongozi hawajadili masuala nyeti ya kimataifa kabla ya kuyawasilisha kwa umma?
 
Kwa sasa tushike la huyu wa leo hadi hapo yatakapotokea mabadiliko, na anavyomalizia amesema alama mpya za kidato cha sita zitatangazwa pia wakishafanya "calculation".
kesho atakuja mwingine na div 6 nalo tutalishika kwa muda tuu
 
elimu inachezewa na mulugo kilaza aliye risiti nara 5 form 4 unategemea nini????
 
kesho atakuja mwingine na div 6 nalo tutalishika kwa muda tuu
wote watasema hata kiranja wao mkuu mpaka atakapo kuja 'mfadhili' ndiye atatoa kauli itakayokubalika kwao na sisi. Inasikitisha lakini utafanyaje!?

 
Anayeaminika hapa Professor Mchome, huyo Phillipo Elimu yenyewe hana huenda hajui hata maana ya Division 5 ni ni kitu gani anajiropokea tu
 
553188_548982921852373_1415430007_n.jpg
Philipo Mulugo; Bungeni akijibu maswali;
Anadai hakuna daraja la Tano;
ni daraja la kwanza; pili, tatu, nne, na ziro; daraja la tano hakunaagaaaa;Unadai ni mkanganyiko wa taarifa;;
Swali nani mkweli; waziri au Katibu wa Elimu; Siasa kwenye elimu ni Ugonjwa;
Serekali inatufanya hatuoni au hatusikii;Tunafahamu kila kitu;
 
Kuna udhaifu ktk hii Wizara, kuna tatizo la kimawasiliano.

Kama si tatizo la mawasiliano, basi wanafanya kazi kwa kukomoana.
 
Back
Top Bottom