miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
kwa nini mbona kojjo alikuwa katika nafasi nzuri?
Hisia hatoki.......!!!Kojjo na Phiona au Nyambura
kwa nini mbona kojjo alikuwa katika nafasi nzuri?
Hisia hatoki.......!!!Kojjo na Phiona au Nyambura
Wajameni vp leo mbona uwanja umenuna ina maana hamna TPF leo. Au wote mpo kwenye minuso kama dada yangu Heaven on Earth.
Watatoka fiona na nyambura ndio wana kura chache mpka sasa
Heaven on Earth leo kaenda kwenye mnuso
Nyambura hawezi kutoka.
kumbuka leo wanatoka watatu.
Back to the show..