Hitler alisema, "waisrael ambao wamebaki watatoa jibu kwa nini nilikuwa nawaua kwa halaiki". Dunia ilipo sasa ni matokeo ya nguvu ya israel. Wao ndio wanaamua nini kifanyike na wakati gani.
Ni kweli kama si kuichukua zanzibar leo tungekuwa na mgogoro mkubwa. Kuna taarifa kuwa km 10 kutoka pwani ya tanga, dar, bagamoyo lindi na mtwara lilikuwa eneo la sultani wa zanzibar. Hivyo kama si muungano ingekuwa mgogoro leo hii. Nyerere aliangalia mbele sana. Ni vema kuimeza zanzibar na...
We can speak out loudly after Idd el Fitri, This Ghadaffi is in Ramadhan, since the first day of ramadhan he never fight and thats why the rebels advanced. Lets wait and see.
haya ni mojawapo ya madhara ambayo yamefanywa na huu ukoloni mpya, watu kama hawa waliopungukiwa uwezo wa kufikiri na kutambua mambo rahisi kama haya. Huu ni upunguani wa mawazo. watu kama hawa wanatakiwa kuondolewa miongoni mwa G.T.
Kama kweli Walibya hawamtaki Ghadafi wangemtoa bila shida. lakini bado wanamtaka ndio maana inakuwa ngumu kumtoa. na kwa hakika atashinda vita dhidi ya nato
CCM Hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Hoyeeeeeeee
Nakumbuka enzi hizo tukiimbishwa kwenye mikutano ya chama cha majambazi.
Doooooooooooooh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Ama kwelisikio la kufa halisikii dawa!
Watanzania tunakanganyana katika hili. Tofautisha POSHO YA KIKAO na MSHAHARA HALALI. Zitto anazungumzia POSHO. Wabunge wanayo mishahara yao halali vivyo hivyo kwa wafanyakazi wa Serikali. Hii Mishahara ndiyo inapaswa kuongezwa ili MFANYAKAZI awajibike katika kazi yake na Mbunge awajibike kwa...
Mimi nakushauri kutokana na uzoefu wangu na watoto. Moja Kama ni kuharisha na kutapika fanya ifuatavyo, kwanza dalili zinaonyesha ni kuota kwa meno.
1. Badala ya kumpa chakula mnunulie matunda na umtengenezee Juice (machungwa na papai)
2. kama dawa amemaliza usimpe dawa nyingine hadi akamilishe...
Bangi imehalalishwa katika nchi kadhaa na nyingine zimetenga maeneo ya kuuza na kutumia bhangi. Colombia imeruhusiwa kabisa, vuta mahali popote. hivyo tukilima bangi itapata pa kupeleka na kwa wale wanaotumia hapa nchini watambuliwe kisheria.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.