Recent content by kitwalaa

  1. kitwalaa

    JamiiForums Tanzania Wiki ya 31 ya ujauzito mtoto bado hajageuka .

    Soma andiko langu vizuri utaelewa, tatizo la mtoto kukaa vibaya na kujifunga shingoni ni vitu viwili tofauti. Sikulazimishi uamini nilichoandika. Pia usinilazimishe niamini kua hakuna njia mbadala za asili hasa kwa matatizo ya uzazi . Kwani huko hospitali tunapona kwa uwezo madaktari bila...
  2. kitwalaa

    JamiiForums Tanzania Wiki ya 31 ya ujauzito mtoto bado hajageuka .

    Naongelea hali niliyopitia, nilianza kupata maumivu makali nikiwa na ujauzito wa miezi 5, wakati huo nilikua nafanya kazi karatu, baada ya vipimo hospital niliambiwa mtoto kakaa vibaya, natakiwa kupumzika na nisifanye kazi Ngumu. Na Kama hali ikiendelea hivyo nitatolewa mtoto kabla ya muda...
  3. kitwalaa

    JamiiForums Tanzania Wiki ya 31 ya ujauzito mtoto bado hajageuka .

    Nenda kwa wamama wa kimasai watakusaidia kumgeuza kwa njia za asili bila madhara.
  4. kitwalaa

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Wananchi wa Dar nitumieni majina na taarifa za mashoga, nitawashughulikia

    Mwenye namba ya makonda please nina list ndefu ya kutaja.
  5. kitwalaa

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa mabasi ya Zakaria amenidhulumu mali yangu na kutishia kuniua

    Pole sana mkuu huyu zk ana fikiri ataishi miaka yote hato fishwa na muumba wa mbingu na ardhi walikuepo watu wajeuri zaidi yake leo wako wapi? Tena walikua wajeuri kweli kweli cha msingi ic Kate tamaa endelea kufatilia kisheria ikiwa mzigo wako ulikua kisheria . Tukumbuke kutoa sadaka kwani...
  6. kitwalaa

    JamiiForums Tanzania Hoja nzito: Tuwe wawazi na tufunguke

    Mjukuu wangu anapata chanjo kila akifika hospitali, , mwanangu wa kwanza amepata ajira mwaka huu, mwanangu wa mwisho kapata mkopo wa chuo kikuu, baada ya tetemeko kagera kubomoa nyumba yangu, nimejengewa nyumba mpyaaaaa kwa michango ya wahisani, mwanangu wa kulea anayeishi mwanza aliye kua...
  7. kitwalaa

    JamiiForums Tanzania Miss Tanzania: Diana Edward Lukumai ameshinda taji la Miss Tanzania 2016

    Watu kwa kulalamika, hakuna mshiriki alie onewa hapo. J-e-c-h-a yuko makini sana, acheni uoga.
  8. kitwalaa

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya kununua aina ya Canter

    Aina iwe D4 35, Kama unayo nifuate PM.
  9. kitwalaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Denda asubuhi na boyfriend wangu

    Kawaida. Ya. Mapenzi hayana adabu au hayana nidham kisha Siri za ndani si za kutoa nje jifunze ama kua.
  10. kitwalaa

    JamiiForums Tanzania Line ya tigopesa mpesa na airtel inauzwa

    Uko wapi mkuu
  11. kitwalaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wangu amepunguza kunipa dozi toka amejifungua

    Nataka kujua wewe ni dini gani ili nikushauri.
  12. kitwalaa

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Mkeka inatambulika kisheria?

    Ndoa ya mkeka ndio kitu gani usiwe mtu mwenye kukariri dini nisheria hakika dini haitaki ujanja ujanja sasa nakujibu ndoa ni ndoa ipite katika misingi ya kisheria ya dini ok.
  13. kitwalaa

    JamiiForums Tanzania Tukio la kutisha Mwanza mjini, usiku wa manane

    Cha Arusha hakifai kitu musoma ndani ya Tarime moja.
  14. kitwalaa

    JamiiForums Tanzania Mbio za Mwenge zinaenda kuwaumbua

    Sio mwana ccm mwana siasa maana ya siasa ni sikweli.
  15. kitwalaa

    JamiiForums Tanzania Tujuane wana JF wa Mwanza

    Nyakato nundu b
Back
Top Bottom