Recent content by Kituku

  1. Kituku

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa FAST JET

    Asanteni sana, nimepata idea..
  2. Kituku

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa FAST JET

    Haya ngoja nimsubirie
  3. Kituku

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa FAST JET

    Wapendwa habari zenu??? Poleni na majukumu ya siku Naombeni msaada wenu kwa wale waliowahi kusafiri na ndege ya Fast Jet ndani ya TZ Nimebook kusafiri na shirika hili mwezi ujao mwishoni, nauli yao naiona resonable kulingana na matangazo yao.. niliwahi kubook nikafanyiwa laki mbili go-return...
  4. Kituku

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Kanumba: Alitabiri kifo chake?

    nasikiliza clouds fm hapa machozi yananitoka, wamepiga wimbo wake alioimba, unasikitisha sana na ni kama alijitabiria kifo, anasema siku ya kifo chake watu watalia na wengine watasema wamepoteza msanii mzuri kanumba... Anamwamchia mungu nafsi yake na moyo wake ausimamie na aupookee...
  5. Kituku

    JamiiForums Tanzania Nilivyosherehekea New Year. Yaliyonikuta mwenzenu

    Asante mkuu, nami nimekula kiapo
  6. Kituku

    JamiiForums Tanzania Nilivyosherehekea New Year. Yaliyonikuta mwenzenu

    we acha tu, nilianzia jioni tu ila kwa mbwembwe
  7. Kituku

    JamiiForums Tanzania Nilivyosherehekea New Year. Yaliyonikuta mwenzenu

    Habari waungwana, Nashukuru Mungu nimeuona mwaka mpya, heri na kwenu pia wana JF. Niwaeleze tu jinsi mwaka mpya ulivyonikuta.. Kilaji cha nguvu, nilikuwa bwiii mpaka kubebwa kuletwa home, jambo ambalo si la kawaida hapo awali, je ndo nitakuwa wa bwiii mwaka wote wa 2012!!.... Wewe mwenzangu wa...
  8. Kituku

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Ngonjera yaendelea! Wabunge waendeleza mipasho dhidi ya CHADEMA (Nov 17)

    sioni hata umuhimu wa bunge hili, likely kuna Uccm na Uchadema
  9. Kituku

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Ngonjera yaendelea! Wabunge waendeleza mipasho dhidi ya CHADEMA (Nov 17)

    Ninashangazwa sana uendeshaji wa bunge letu jamani, hoja iliyopo ni mjadala wa uundwaji wa katiba, kinachoshangaza ni hawa wabunge wa ccm wao ni kujadili watu wa chadema tu, mara tundu lisu, mara mke wa Slaa, mara mboye.. Duu, na spika kakalia kiti.. Eti wanasema Lisu,Sendeka, Mboye ,Slaa...
  10. Kituku

    JamiiForums Tanzania Bunge lamchunguza, Rais ampa zawadi

    Nilikuwepo kwenye hafla hii, ni siku aliyofuturisha, wanaume walipewa mifuko hii ikiwa na vikoi na supande wa wanawake mama salma aligawa zawadi ya aina hii ndani kukiwa na vitenge. Ni zawadi ya futuru.. Ila kwangu mimi sioni kama ni sadaka kwani anawaridhisha matajiri amabo hata hata hivyo...
  11. Kituku

    JamiiForums Tanzania Sekondari 17 Singida kupata mtandao wa Intaneti

    <br /> <br /> Kwa ninavyozifahamu shule za serikali, ambozo nyingi ni shule za shule za kata, sijaona kama Mo KAFANYA KITU KIKUBWA ZAIDI HAPO, BORA ANGEBORESHA lABS KWANI WATOTO WANAFELI SANA MASOMO YA SAYANSI, ZAIDI YA HAPO HAPO KUNA SHULE WATOTO WANATEMBEA KM 15 KUIFUATA HIYO SHULE...
  12. Kituku

    JamiiForums Tanzania Wabunge Waingia Mitini Kikao Cha Bajeti Ya Afya Jioni Hii Bungeni

    Wikiend imefika... Wameshatoa dharura feki.. wamekwenda kutuharibia mama zetu na dada zetu tu. Vijiappointment vinaanzia thasday.. Laana ya mungu iwe juu yao
  13. Kituku

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu yapo Hatarini jamani...Nifanyeje?

    Me nasema si lazima Chadema tu...hata angetafutwa mtu binafsi hata kama bakhresa tukamwambia tuendeeshee nchi kwa muda tu... maana ukisema chadema watasema uchochezi siasa......Hii nchi JK imemshinda kabisa.. ni umbumbumbu tu wananchi wachache wanaonunuliwa kwa doti za kaka, fulana, kofia na...
  14. Kituku

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu yapo Hatarini jamani...Nifanyeje?

    Natamani ningekuwa malaika, nikatua kila kwenye nyoyo za wabunge woote bungeni na kurudisha nia zao za umoja (si siasa) na kufanya maamuzi mazuri kwamba ukiacha budget ya wizara ya afya, Elimu na chakula, pesa zote zilizobaki zingeshughulikia kwanza suala la umeme, then budget ya mwakani ndo...
  15. Kituku

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu yapo Hatarini jamani...Nifanyeje?

    Nayasubiri kweli mapinduzi ya nchi hii... nitashiriki nakula yamin (naapa)
Back
Top Bottom