Wabunge Waingia Mitini Kikao Cha Bajeti Ya Afya Jioni Hii Bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge Waingia Mitini Kikao Cha Bajeti Ya Afya Jioni Hii Bungeni

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Ndallo, Jul 21, 2011.

 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,131
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Vikao vya bajeti vinavyoendelea bungeni jioni hii kwenye kuchangia bajeti ya afya bungeni karibu asilimia 65 ya wabunge wote wameingia mitini nikiangalia luningani pale bungeni wabunge ni wachache mno ukilinganisha na kikao cha asubuhi.
   
 2. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2011
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,939
  Likes Received: 2,088
  Trophy Points: 280
  Posho zimetosha kwa leo au tayari wamepata bahasha kwa style ya Jairo!!
   
 3. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  WAWEPO WASIWEPO MAMBO SAFI. Soma Mwananchi ya Jana yenye Article ya Michael Dalali kafafanua vyote! WABUNGE WAZEMBE NI JANGA LA NCHI..
   
 4. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Sijui wizara ya afya kama imekumbuka kutenga fedha za taa za kandili na mafuta taa kwenye vituo vya kutolea huduma ya afya ??
   
 5. Kituku

  Kituku JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 239
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wikiend imefika... Wameshatoa dharura feki.. wamekwenda kutuharibia mama zetu na dada zetu tu. Vijiappointment vinaanzia thasday.. Laana ya mungu iwe juu yao
   
Loading...