Wimbo wa Kanumba: Alitabiri kifo chake?

nasikiliza clouds fm hapa machozi yananitoka, wamepiga wimbo wake alioimba, unasikitisha sana na ni kama alijitabiria kifo, anasema siku ya kifo chake watu watalia na wengine watasema wamepoteza msanii mzuri kanumba... Anamwamchia mungu nafsi yake na moyo wake ausimamie na aupookee, anamkabidhi mungu kila kutu... Kweli jamani mungu mkubwa, ametoa na ametwaa, sote tu njia moja, RIP DUDE
 
Kama leo nikifa,kila mtu atanisifu kwa lake,hata hao wanaonichukia watabeba jeneza langu kwa nyimbo za mapambio # r.i.p. Kanumba

eti pengo la kanumba ataliziba nani,wenzangu leo nipo hai twachukiana #r.i.p. Kanumba
 
Hata mimi nimeusikia mkuu, the guy new that he had enemies he can't fight, so he knew something was going to happen.
 
he lived his life in dramas...he has passed away dramatically. RIP
 
Yaweza kuwa alikuwa ametengeneza mazingira magumu kuzunguka maisha yake.
Aliimba ili msaada uje, bila kuweka wazi masaibu aliyokuwa nayo.
Yaweza kuwa alijaribu kukwepa kunywa mkorogo aliotengeneza, kwa vile hata aliomba wasameheane na wale waliokosana, na kwamba baada ya yeye kufa hakutaweza kuwepo kusameheana.
Yaweza kukawa na waraka pia ameacha.
 
Watanzania tuu washamba sana. Pale inapobidi tupige kelele hatupigi na pale pasipostahili tunapiga. By the way who is f...k Lulu au Kanumba katika maisha ya mtanzania? Nothing!!! They are just f...kng waasherati ambao hawana msaada wowote kwa maisha yetu, Ni nzi kafia kwenye kidonda... thats all! Hebu tujadili na kuwalilia watu wenye maana lakini sio hawa f...ng .... ******
 
[SI
ZE=2]Watanzania tuu washamba sana. Pale inapobidi tupige kelele hatupigi na pale pasipostahili tunapiga. By the way who is f...k Lulu au Kanumba katika maisha ya mtanzania? Nothing!!! They are just f...kng waasherati ambao hawana msaada wowote kwa maisha yetu, Ni nzi kafia kwenye kidonda... thats all! Hebu tujadili na kuwalilia watu wenye maana lakini sio hawa f...ng .... ******[/SIZE]
Mkuu hii copy and paste mbona inakuwa kichefuchefu.
Huwezi andika kitu kingine kuendana na kinachojadiliwa.
Ni bora uache kuchangia, humfurahishi yeyote.
 
Wengine tv na redio zote tunazozisikia ni za kenya.Huyu kanumba alikuwa na cheo gani.Manake redio za kenya wanatangaza alshabab na kupiga marege ya ukweli tu
 
Sio siri,mimi si mpenzi wa bongo movie lakini kanumba namuelewa jinsi alvyokuw kwenye sana na ameniuma sn.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom